kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
- Thread starter
-
- #41
Msaidie kwa kumpa kampani mpaka pale atakapopata mwenzake! but u have to be very careful, chukulia kama ni rafiki yako kwani kufanya mapenzi lazima? hakuna faida yoyote
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
Eti mume wake kafa na ajali; kwa hiyo??? Angekufa na malaria??? Ha ha ha! Unajidanganya kuwa waliofiwa na waume zao kwa ajali basi hawana HIV. Kaka leo ni tarehe 1 December hatutaki kupoteza wazembe kama nyie! Hata wenye HIV wanakufa vifo vingine zinduka! We mwanamke gani miezi minne tu toka mmewe kafa keshaanza kuwashwa huko chini? Huyo alishazoea mechi za mchangani gusa unate.
:juggle:
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
Mimba ya tamaa huzaa dhambi, na dhambi huzaa kifo. Kama unampenda kweli mkeo huwezi ukamsaliti kwa kwenda nje ya ndoa tatizo tamaa tu inakusumbua kwani wanaume wengine wa kumridhisha wameisha na umebaki wewe tu? Muombe sana Mungu akusamehe juu ya tamaa yako hiyo "imeandikwa msizini, lakini mimi nawaambia kila amwangaliae mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake".
Always mwanaume kwa kupenda kuonjaonja ndivyo tulivyoumbwa asikudanganye mtu. Jiulize Nabii Suleman alikuwa na wake 700 na vimada/nyumba ndogo 300, jumla unapata buku. Wewe mke mmoja ukiweka kanyumba kadogo kamoja inakua ishu. Ukweli ni kuwa Umpende mke wako vp kuna mahali utadondoka tu na unamega, uwongo?? Kuna kale kaibilisi kapo tuu! Kuna anayebisha?
nabisha, sio kwa vile wewe uko hivo basi watu wote watakuwa hivyo ulivyo. Ndo maana kuna watu wachawi lakini si kila binadamu ni mchawi, kuna walevi lakini si watu wote ni walevi.
Weweeeee! Unampa polisi kiroba cha cocain halafu unamwomba akushauri eti kama hyö ni biashara halali ama la! Jibu nadhani kila mtu hapa analo.
Always mwanaume kwa kupenda kuonjaonja ndivyo tulivyoumbwa asikudanganye mtu. Jiulize Nabii Suleman alikuwa na wake 700 na vimada/nyumba ndogo 300, jumla unapata buku. Wewe mke mmoja ukiweka kanyumba kadogo kamoja inakua ishu. Ukweli ni kuwa Umpende mke wako vp kuna mahali utadondoka tu na unamega, uwongo?? Kuna kale kaibilisi kapo tuu! Kuna anayebisha?
Hapana mkuu KIPIPI, nawashukuru wana jf wote kwa ushauri wao mzuri. Siwezi kwenda kinyume na ushauri wa watu zaidi ya 50 hadi sasa wenye mauzoefu ya maisha. Mmeiokoa ndoa yangu kwa kuwa nimegundua it is wrong to do that. Nitakuwa makini sana jameni, kama ni kampani yangu kwake itakuwa tu ni ya mambo mengine na siyo umegaji wa Tunda. MUNGU AWABARIKI SANA. Viva jfdah......kwa hiyo wewe una lako kichwani ila ulikuwa unachezea tu akili za watu eeh?? Siku nyingine ukirudi na thread ya namna hii alafu watu wakakurushia madongo utalalamika?? Haya......endelea kuchangamsha jamvi!!!
wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
kwani kakwambia anataka?