Hapana mkuu KIPIPI, nawashukuru wana jf wote kwa ushauri wao mzuri. Siwezi kwenda kinyume na ushauri wa watu zaidi ya 50 hadi sasa wenye mauzoefu ya maisha. Mmeiokoa ndoa yangu kwa kuwa nimegundua it is wrong to do that. Nitakuwa makini sana jameni, kama ni kampani yangu kwake itakuwa tu ni ya mambo mengine na siyo umegaji wa Tunda. MUNGU AWABARIKI SANA. Viva jf
thanx Vonix. Noted pls. UbarikiweNimekuelewa vizuri,unasema hahitaji msaada wako yaani pesa kwani analipwa vizuri ila anachohitaji kwako ni company yako tu.Madhara yake unayajua???huyo ukitenda nae tu,tayari hiyo ni nyumba yako ndogo,utaanza kwa kujifichaficha baadae haitakuwa siri tena matokeo yake mkeo atajua kibaya mnakaa mtaa mmoja hiyo vita sijui utaiamulije!!kitendo chako cha kutoa sifa kwa huyo mjane ati ni mdogomdogo inamaana ulishampambanisha na mkeo ukavutiwa nae hapa unavunga tu kutaka ushauri wetu kumbe majibu na maamuzi unayo.Tatizo hata kama huyu dada analipwa vizuri haijalishi pesa utampa tu,na hapo ndipo utakapoyayumbisha maisha ya familia yako,maharage mwanzo mwisho.
Katika maisha yangu nilishakutana n mkasa unafanana kwa mbalii na wako lakini nilichoexpirience sitakaa nirudie kamwe kitu kama hicho hata kama mzuri kama malaika pale ambapo ikitokea ni mtu tupo ktk roof moja officn au kokote! Ndugu yangu mshauri vyema huyo dada awe mvumilivu pia usjifanye kumpotezea sanaaa lakini jifanye unamjali ila with great care.to avoil a lifetime messssssssssssssssss
wanaume mna kazi kwani wanaume dunia nzima hawapo umebakia wewe tu?
vitamaa tu vinakutesa na sio huruma
dogo, ambe wafa/ofuye!
Kuna tabia moja siyo nzuri sana kwa viumbe hawa. Nothing more than sympathy requirement. Nilishawai kumbanjua mama mmoja lakini motive ilikuwa simply because
Bwana wake anamyanyasa sana; anyway mie sikujua kinachoendelea. Nilipogundua, akaniambia alikuwa ana revenge kwa mme wake. Ktk mazingira haya unayozumguzia, huruma si lazima umpatie mshedede! Eti ni mdogo mdogo tena mzuri; acha tamaa mbaya bwana mdogo. Nimejifunza mengi kuhusu viumbe hawa, sitorudia tena asilani.
Nimekuelewa vizuri,unasema hahitaji msaada wako yaani pesa kwani analipwa vizuri ila anachohitaji kwako ni company yako tu.Madhara yake unayajua???huyo ukitenda nae tu,tayari hiyo ni nyumba yako ndogo,utaanza kwa kujifichaficha baadae haitakuwa siri tena matokeo yake mkeo atajua kibaya mnakaa mtaa mmoja hiyo vita sijui utaiamulije!!kitendo chako cha kutoa sifa kwa huyo mjane ati ni mdogomdogo inamaana ulishampambanisha na mkeo ukavutiwa nae hapa unavunga tu kutaka ushauri wetu kumbe majibu na maamuzi unayo.Tatizo hata kama huyu dada analipwa vizuri haijalishi pesa utampa tu,na hapo ndipo utakapoyayumbisha maisha ya familia yako,maharage mwanzo mwisho.
we c baba huruma haya muhurumie na mkeo naye atamhurumia mkaka naye aliye fiwa na mkewe cku moja mana mla naye huliwa(humegewa)
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.