Namwonea huruma nimsaidiaje huyu mwanamke?

mpe masharti akikubali mbanjue, sharti la kwanza kutunza siri, pili asijionyeshwe wazi, asipige simu mpaka umpigie, asitume message za mapenzi, asimuzoee mkeo, umweleze kuwa unampunguzia machungu wakati yeye anatafuta wa kuendelea naye

Asante mkuu ila ujuavyo mapenzi kikohozi. Anaweza akakolea, akanogewa akataka hata kuhamia. Hapa sasa ndo atafanya visa hata kumdhuru wife ili tu achukue usukani. NIMESHAURIWA HAPA JF NA WATU WENGI SANA KUWA NIACHE, INFACT WEWE TU NDO UMENIPA GO AHEAD. Nashukuru ila NIMEAMUA KAKA KUKAA NAYE KIMACHALE, JUST KAMPANY YA KAWAIDA BILA UKARIBU WALA PRIVACY YA 0-DISTANCE.
 
wanaume wameumbwa hvyo'mle tu kaka kama muislam tangaza ndoa kabisaa'ningekuwa wewe simuachi sababu na yeye hata acha atakusumbua kila cku.
 
Mpe msaada kwenye tuta dada wa watu hasa kwa kipindi hiki ambacho yu mpweke sana. Baadae akishakaa sawa basi atapata mwingine wa kwake. Ila kama unaogopa kuhatarisha ndoa yako, unaonaje ukiunganisha nae ili nimsadie kumtoa upweke? Maana tunatakiwa kuwa na moyo wa huruma kwa wenzetu pindi wanapopatwa na matatizo!
 
Lakini kumbuka ana matamanio yake ya kimwili. Na ndio maana nakwambia kaka; wewe niweke hapo nimpe faraja ya moyo! Kwanini ateseke wakati wasamaria wema tupo? Tehetehetehetehehe!
 
Lakini kumbuka ana matamanio yake ya kimwili. Na ndio maana nakwambia kaka; wewe niweke hapo nimpe faraja ya moyo! Kwanini ateseke wakati wasamaria wema tupo? Tehetehetehetehehe!

Masaki, hahahaha, nikupasie? Kwani wewe upo wp? Manake tupo Mwanza. Lakini naogopa kufukuzia nyani kwenye shamba la jirani yangu bwana!hahaha
 
wanaume wameumbwa hvyo'mle tu kaka kama muislam tangaza ndoa kabisaa'ningekuwa wewe simuachi sababu na yeye hata acha atakusumbua kila cku.

Kisabengo nakusoma, ...anayo matamanio ya mwili, ndo chanzo cha kumwonea huruma mwenyewe hadi nikatamani kumtuliza. Kweli sisi wanaume na kale kamchezo ni anytime, hakakinaishi kama mambo yote yapo sawa, daah, ila pia mie siyo mwislam siwezimuoa mkuu. Nilitaka nijivinjari tu nimvushe ktk bonde la upweke na matamanio hayo kama binadamu. nilishakata shauri naona unanirejesha huko. Mtihani kaka!
 
teh teh teh... msaada kwenye tuta. Hahaha Lol
 
mpe masharti akikubali mbanjue, sharti la kwanza kutunza siri, pili asijionyeshwe wazi, asipige simu mpaka umpigie, asitume message za mapenzi, asimuzoee mkeo, umweleze kuwa unampunguzia machungu wakati yeye anatafuta wa kuendelea naye

sawasawa mkuu, ila wakinogewa watajisahau hawa...! sijui kwanini mzigo wa wizi unakuwaga mtamu!!!
 
mpe masharti akikubali mbanjue, sharti la kwanza kutunza siri, pili asijionyeshwe wazi, asipige simu mpaka umpigie, asitume message za mapenzi, asimuzoee mkeo, umweleze kuwa unampunguzia machungu wakati yeye anatafuta wa kuendelea naye

asante. Nijuze masharti ya kupima ngoma kwanza vp mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…