Nanauka: Serikali inatazamia kuanzisha benki ya Vijana

Hiyo benki ya vijana wanayotaka kuianzisha ni kichaka kingine cha wizi na ufisadi.

Vv
 
Kazi ipo wangapi washappkea mkopo wa bilion 200 fungukeni
 
Sidhani kama benki ni tatizo. Tatizo ni terms za kupata mikopo na bank charges. Vijana wapewe mikopo kwa riba ya 5% na wapewe muda wa kutosha kurejesha. Binafsi nimesikitika sana kujua kuwa mikopo inayotolewa ina riba isiyopungua 10%.

Kuanzisha benki ya vijana ni gharama zisizo za lazima. Hizo hela za kuanzisha benki wapeni NMB, CRDB au benki nyingine zitoe mikopo kwa vijana.
 
Imenibidi nicheke kwanza
Maana najua mwisho wa siku utakuja kusikia serikali imefanikiwa Kwa 2000% maana benki zote ni za vijana hata walioajiliwa humo ni vijana
 
Kijana anakuja na wazo la kuanzisha ndio kaona ndio changamoto ya vijana nchini, kwani changamoto ni kutokuwa na benki za vijana?
 
Ujinga mtupu....anakurupuka tu Hanauka kuanzisha bank sio si hasa na porojo.....hakuna mjinga tena kizazi hiki......afungue madirisha hijana na wanawake yenye pesa za kweli kwenye bank zilixopo za set kali.....upuuzi mwingine baking nao yeye.....bank dio riwaya
 
Kwa hiyo wanafungua Bank kwa kazi moja tuu ya kutoa mikopo kwa vijana 😂
 
Kuanzishwa kwa Benki ya vijana sio suluhu ya changamoto za vijana, benki ziko nyingi waingie ubia kama wanataka kurahisisha wanayotaka kwa vijana.
 
Benki ya wanawake, Benki ya watoto, Benki ya wanaume, Benki ya Mashoga, Benki ya Wazee, Benki ya Wastaafu, Benki ya walemavu, Benki ya Wakristo, Benki ya Waislamu, Benki ya Mashabiki wa Simba, Benki ya Mama, Benki ya baba, Benki ya Bodaboda, Benki ya Mama lishe, Benki ya wabunge, Benki ya Wavuvi

Ni hatua tu
 
Kama kawaida yao, asilimia kubwa ya pesa itaenda kwenye ufisadi, miundombinu, uendeshaji na raslimali-watu wa hiyo "Benki" afu walengwa wataambiwa pesa ya kukopa hakuna
 

1. Benki ya vijana​

Maana yake ni
  • Benki inayolenga vijana, au
  • Benki inayomilikiwa na vijana
Faida: Ni rahisi kutambulika.
Hasara: Halielezi wazi mfumo wa uendeshaji.

2️. Benki kwa ajili ya vijana​

Hii ina maana kwamba
  • Benki imeanzishwa kuhudumia vijana
  • Huduma zake (mikopo, akaunti, mafunzo) zimeundwa mahsusi kwa vijana
benki aina hii ni kuwa isiwe inamilikiwa au kuendeshwa na vijana.
Faida: Inalenga moja kwa moja mahitaji ya vijana.
Hasara: Vijana wanaweza kuwa wateja tu, si washiriki wa maamuzi.

3️. Benki inayomilikiwa na vijana​

Vijana ndio wanahisa/wamiliki
  • Vijana wanashiriki katika uongozi na maamuzi
  • Faida zinawanufaisha moja kwa moja
Hii ni dhana ya uwezeshaji (empowerment).
Faida:
  • Inajenga umiliki wa kiuchumi
  • Inawapa vijana uzoefu wa uongozi
  • Faida hurudi kwa vijana wenyewe
Hasara: Inahitaji nidhamu, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri ili isishindwa

Kipi kifanyike ili vijana wafaidike zaidi?​

Kwa maendeleo ya muda mrefu: Benki inayomilikiwa na vijana ndiyo yenye manufaa makubwa zaidi.
Sababu:
Vijana wanakuwa wamiliki, si wateja tu
  • Wanajifunza uongozi, uwekezaji na usimamizi
  • Wanajenga mtaji wa pamoja
  • Inaweza kuwa kama SACCOS au taasisi ya kifedha ya ushirika
Lakini ili ifanikiwe, lazima:
  1. Iwe na usimamizi wa kitaalamu
  2. Iwe na mfumo mzuri wa ukaguzi wa fedha
  3. Vijana wapewe mafunzo ya fedha na biashara
  4. Izingatie sheria za kifedha za nchi
 
Huyo sio waziri, ili mtu awe waziri lazima achaguliwe kuwa mbunge.

Sasa huyo Nanauka kachaguliwa kwenye uchaguzi upi?
Joel ni mbunge nadhani jimbo liko nyanda za kaskazini .. meet him at the top 😂
 
moja ya mawaziri wajinga na wa hovyo ni huyu nanauka...anazidiwa na jesca magufuli
 
Benki ya machawa.. Mkurugenzi awe Mwashamba ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…