Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Bank ya Vijana ni BOT taifa la vijana hili wanataka kuiua BOT waanzishe benki nyingine?Benki ya machawa.. Mkurugenzi awe Mwashamba ,,

Alichaguliwa kwa uchaguzi upi?Joel ni mbunge nadhani jimbo liko nyanda za kaskazini .. meet him at the top 😂