Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Hatimaye mwanasiasa wa ngazi ya juu wa marekani ameondoka Taiwan mchana huu.
Ziara ya Pelosi ilileta gumzo duniani kote na kufuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote.
China imeachwa na kitendawili nini cha kufanya baada ya mwanasiasa huyo kutua salama salimini licha ya vitisho vyote vya china na kupewa last warning.
Pelosi amefungua kurasa mpya kwa Taiwan kwa zaidi ya miaka 25 iliyopita Taiwan haikutembelewa na mwanasiasa wa ngazi ya juu kama huyu.