Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Nancy Pelosi aondoka Taiwan

Hili sasa limepita , maana limetuweka bize sana , sasa tunarudi Ukraine
... dunia ilikuwa on the highest alert. Hofu ilikuwa Nancy angeguswa sijui nini kingetokea! Bahati nzuri mchina kaufyata duna imevuka salama.
 
Marekani angekubali ule mkwara angedharaurika duniani kote na kujishushia heshima YAKE.
Ila ulikuwa mkwara si wakitoto. Kama China angeiangusha ile SPUR19 Marekani ingepoteza watu si chini ya 40 waliokuwa kwenye ile ndege na hii ingemfanya aingie vitani moja kwa moja.
Swali dogo la kujiuliza, mkwara huo tungekuwa tumepigwa bongo na Rwanda, je tungeruhusu ndege yetu kupia anga la Rwanda?
 
Kwa spika yupi??
 
Hela ndiyo inatengeneza nguvu ya kijeshi mzee.

Huna hela huna lolote..... China ni muoga wa ku spend pesa hivyo hawezi kuingia vita na Taiwan wakati anajua US yupo pale.

Game is over; wacha tusubiri Putin na yeye how long he is going to survive against westerners.
Putin keshaanza lia kuwa CIA ndo wanapiga simu na kutoa maelekezo wapi Himars ipige, kwamba bila Wamarekani himars hazifanyi kazi
 
Hapana. Air force ya China ilitakiwa ifukuzie ndege yake mbali asiruhusiwe kabisa kutua. Ndege mbili juu; mbili chini; mbili kushoto; na mbili kulia wamtoe nje ya airspace ya Taiwan.

Hilo tu wangekuwa wamefanya la maana kwa zile tambozao; you are playing with fire; my foot. Kuna anayeijua fire kuzidi United States?
Pelosi didnt go lightly
 
Pelosi didnt go lightly
... China walitakiwa wafanye hivyo kuthibitisha kweli wao ni super power. Kushindwa kwao ni sawan na kelele za vyura zisizomzuia tembo kunywa maji.
 
... China walitakiwa wafanye hivyo kuthibitisha kweli wao ni super power. Kushindwa kwao ni sawan na kelele za vyura zisizomzuia tembo kunywa maji.
China viwanda vingi vya Wamarekani. China anauza sana Marekani kuliko EU na Afrika
 
China viwanda vingi vya Wamarekani. China anauza sana Marekani kuliko EU na Afrika
... in that regard tukisema China ni shamba la Marekani tutakuwa tumekosea?
 
Kwamba ulitarajia China itajaribu kufanya Chochote, ni mpumbavu pekee ndiye atakayewaza hilo.
Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .
Unless uniambie kuwa wachina ni watu wa kuropoka.
 
Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .
Unless uniambie kuwa wachina ni watu wa kuropoka.
Anyway itabakia ni siri ya Wachina wenyewe kwa nini walitoa mkwala jike namna hiyo.Nadhani wanadhani kuwa Super power ni kutoa matamko! Actions speak louder than words!
 
Sisi wachina wa buguruni malapa tuko pamoja na wachina wenzetu wa Beijing. Hatutakubali Ni lazima Merekani aangushwe.
 
Ila ulikuwa mkwara si wakitoto. Kama China angeiangusha ile SPUR19 Marekani ingepoteza watu si chini ya 40 waliokuwa kwenye ile ndege na hii ingemfanya aingie vitani moja kwa moja.
Swali dogo la kujiuliza, mkwara huo tungekuwa tumepigwa bongo na Rwanda, je tungeruhusu ndege yetu kupia anga la Rwanda?
... umaskini wa kipato na akili ni kitu kibaya sana Mkuu. Unadhalilisha sana.
 
Marekani anaweza kwemfa kokote; hata akitaka kwenda kwa Putin yawezekana pia.

Financial muscle ina mbeba. Hata wewe msomaji ukiwa vizuri ki uchumi lazima kwenye misiba wazee wakupishe kiti na pia upewe ulinzi na nafasi ya kuzungumza.
Hawezi kwenda kufanya ujinga huo Russia afanye huko huko vichochoroni
 
... umaskini wa kipato na akili ni kitu kibaya sana Mkuu. Unadhalilisha sana.
Your sentence is real ambigous, umasikini wa kipato na akili ndio unaodhalilisha AU mimi ndio nadhalilika? Na kama ni mimi nadhalilika kwa kuwa ni masikini according to your view ni kivipi kwa hilo nililolinena at first place?
Karibu
 
Back
Top Bottom