kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kwani ziara yake ilikua kwenda mtaani mbona hutumii akili weweMbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...
Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ziara yake ilikua kwenda mtaani mbona hutumii akili weweMbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...
Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
kuduku ndiyo nani?Aende na kwa kuduku kama kweli ni mbabe tuone kama hajarudi kwa machela 😂
Kwa huyu Tulia wa mchongoKwa spika yupi??
Ninachomaanisha ni kuwa ule ulikuwa ni mtego kwa china, nchi kubwa Kama ile ambayo inataka kupaa zaidi kiuchumi haiwezi kufanya kile ambacho humu ndani wengi walichokuwa wanafikiri, lengo la USA hivi sasa ni kumcontain mchina tu, wao china ndiyo watajua namna ya kumjibu marekani aidha kwa uwazi au kificho...Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .
Unless uniambie kuwa wachina ni watu wa kuropoka.
HUKUFUATLIA VIZURI RUDI TENA FUATILIA HATUA KWA HATUA ZIARA YA HUYO MAMAMbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...
Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
Kimkuduku ndiyo nani?
Aha saw