... dunia ilikuwa on the highest alert. Hofu ilikuwa Nancy angeguswa sijui nini kingetokea! Bahati nzuri mchina kaufyata duna imevuka salama.Hili sasa limepita , maana limetuweka bize sana , sasa tunarudi Ukraine
Ila ulikuwa mkwara si wakitoto. Kama China angeiangusha ile SPUR19 Marekani ingepoteza watu si chini ya 40 waliokuwa kwenye ile ndege na hii ingemfanya aingie vitani moja kwa moja.Marekani angekubali ule mkwara angedharaurika duniani kote na kujishushia heshima YAKE.
Kwa spika yupi??Ila ulikuwa mkwara si wakitoto. Kama China angeiangusha ile SPUR19 Marekani ingepoteza watu si chini ya 40 waliokuwa kwenye ile ndege na hii ingemfanya aingie vitani moja kwa moja.
Swali dogo la kujiuliza, mkwara huo tungekuwa tumepigwa bongo na Rwanda, je tungeruhusu ndege yetu kupia anga la Rwanda?
Putin keshaanza lia kuwa CIA ndo wanapiga simu na kutoa maelekezo wapi Himars ipige, kwamba bila Wamarekani himars hazifanyi kaziHela ndiyo inatengeneza nguvu ya kijeshi mzee.
Huna hela huna lolote..... China ni muoga wa ku spend pesa hivyo hawezi kuingia vita na Taiwan wakati anajua US yupo pale.
Game is over; wacha tusubiri Putin na yeye how long he is going to survive against westerners.
Pelosi didnt go lightlyHapana. Air force ya China ilitakiwa ifukuzie ndege yake mbali asiruhusiwe kabisa kutua. Ndege mbili juu; mbili chini; mbili kushoto; na mbili kulia wamtoe nje ya airspace ya Taiwan.
Hilo tu wangekuwa wamefanya la maana kwa zile tambozao; you are playing with fire; my foot. Kuna anayeijua fire kuzidi United States?
... China walitakiwa wafanye hivyo kuthibitisha kweli wao ni super power. Kushindwa kwao ni sawan na kelele za vyura zisizomzuia tembo kunywa maji.Pelosi didnt go lightly
China viwanda vingi vya Wamarekani. China anauza sana Marekani kuliko EU na Afrika... China walitakiwa wafanye hivyo kuthibitisha kweli wao ni super power. Kushindwa kwao ni sawan na kelele za vyura zisizomzuia tembo kunywa maji.
... in that regard tukisema China ni shamba la Marekani tutakuwa tumekosea?China viwanda vingi vya Wamarekani. China anauza sana Marekani kuliko EU na Afrika
Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .Kwamba ulitarajia China itajaribu kufanya Chochote, ni mpumbavu pekee ndiye atakayewaza hilo.
Anyway itabakia ni siri ya Wachina wenyewe kwa nini walitoa mkwala jike namna hiyo.Nadhani wanadhani kuwa Super power ni kutoa matamko! Actions speak louder than words!Sio kwamba watu walitabiri. Ni wachina wenyewe walisema kuwa hiyo safari ingeleta shida kwa america .
Unless uniambie kuwa wachina ni watu wa kuropoka.
... umaskini wa kipato na akili ni kitu kibaya sana Mkuu. Unadhalilisha sana.Ila ulikuwa mkwara si wakitoto. Kama China angeiangusha ile SPUR19 Marekani ingepoteza watu si chini ya 40 waliokuwa kwenye ile ndege na hii ingemfanya aingie vitani moja kwa moja.
Swali dogo la kujiuliza, mkwara huo tungekuwa tumepigwa bongo na Rwanda, je tungeruhusu ndege yetu kupia anga la Rwanda?
Hawezi kwenda kufanya ujinga huo Russia afanye huko huko vichochoroniMarekani anaweza kwemfa kokote; hata akitaka kwenda kwa Putin yawezekana pia.
Financial muscle ina mbeba. Hata wewe msomaji ukiwa vizuri ki uchumi lazima kwenye misiba wazee wakupishe kiti na pia upewe ulinzi na nafasi ya kuzungumza.
Kama waliona mbali hawakuwa na haja ya kupiga mikwaraKwa mtazamo wangu china ingeingia vitani wao wangeathirika zaidi kiuchumi naona waliona mbali sana
Hii kauli ni ya kwako haina ushahidiPutin keshaanza lia kuwa CIA ndo wanapiga simu na kutoa maelekezo wapi Himars ipige, kwamba bila Wamarekani himars hazifanyi kazi
akili za mbege hizi mkuuMbona kafikia airport, kaongelea airport na kaondokea airport...
Kama wao wanaume kweli wengempeleka mtaani akanyoshwe...
kwahiyo imeuzwa ng'ombe ili kupeleka ng'ombe nyingine shule ?Ikauzwa ng'ombe mtu aende shule, karudi na akili za ng'ombe
ng'6 nyingine hii hapaMajitu hayana uelewa mlitaka Huyo mama apigwe risasi. Thailand watakuwa na wakati mgumu sana
Your sentence is real ambigous, umasikini wa kipato na akili ndio unaodhalilisha AU mimi ndio nadhalilika? Na kama ni mimi nadhalilika kwa kuwa ni masikini according to your view ni kivipi kwa hilo nililolinena at first place?... umaskini wa kipato na akili ni kitu kibaya sana Mkuu. Unadhalilisha sana.
Huo ulikua ni mtazamo wangu...kutokupiga mikwara ni uhalisiaKama waliona mbali hawakuwa na haja ya kupiga mikwara