Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, ukishazaa huwezi sema hayo shost,
Ok, umeeleweka kuwa mgegedo unashiriki vizuri ila hutazaa mpaka uwe ndani ya ndoa. Good.No sijaolewa,sijazaa na nilishaweka agano na Mungu sitazaa mpk niingie kwny ndoa!
Sitaolewa na mimba/tumbo sitaki!
Luca ana ndoa tayari!km sikosei wametengana na mkewe!ana watoto wengine wawl
Kweli kabisa..WATANZANIA WAZURI!
MTANZANIA..... nasifia watu wangu! hakika MWENYE ENZI MUNGU KATUPENDELEA!Kweli kabisa..
We ni nyang'au..??
Ohhh sorry...Nzuri sana ..Nilizani we nya'au...MTANZANIA..... nasifia watu wangu! hakika MWENYE ENZI MUNGU KATUPENDELEA!
Ok, umeeleweka kuwa mgegedo unashiriki vizuri ila hutazaa mpaka uwe ndani ya ndoa. Good.
Ni kipande cha ulaya kile tena ukienda miezi fulan utakutana na watalii wengi mno mataifa mbali mbali utadhani mambeele[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Nimeamini Arusha kuna maeneo ni kama Ulaya.
hhahhahahahah sio kweli bhana hawana roho mbayaUnashangaa roho ngumu kwa Mmeru chaaa... kawaida yao.
InawezekanaAtakuwa alizamia..
Mhmh hio ni harusi ni nzuri kweli na inapendezaaa sasa kasheshe changamoto na mitihani ya ndoaaaaaaaaaa