Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ni kweli sioni Wagoa hapo...Atakuwa amesusiwa..Huyo luca ndgu wamemsusia mana hatuoni hapa goa mmoja kwenye picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli sioni Wagoa hapo...Atakuwa amesusiwa..Huyo luca ndgu wamemsusia mana hatuoni hapa goa mmoja kwenye picha
Wagoa ni shida ukileta zako wanakutenga......kuna mifano mingi nimeona hpa arushaNi kweli sioni Wagoa hapo...Atakuwa amesusiwa..
Hahahaha yeah huko hukoEden kule kwa Adam na Eva walipokula tunda au
Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.HIVI YULE MB DOGGY SIJUI,NDIO ANGEMUWEZA KWELI HUYU?HII NCHI HAIISHI VITUKO!
Najua kilichokufanya uulize !Ni wapi hapo walipopiga hizo picha?
Kwani alikuwa nani mkuu?Bado Miss Tanzania 2006!
SepetuKwani alikuwa nani mkuu?
Hasira zote hizi kakufanyia nini jaman,mbona hasira nyingiAngemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
Ni nini?Najua kilichokufanya uulize !
haaaaaa haaahaaaMola ajalie muungano huu usije kua kama wa Tanganyika na Zanzibar!
Katafute thread ya Arusha halisi na watu wake anzia page ya kwanza mpaka ya mwisho kwa kweli hata mimi nimepakubali Arusha.ARUSHA kama ULAYA jamani SCENE imetuliaaaa .
Huyo lapulapu hana hiyo class hapo wewe.Nimewaona ma miss Tz wa zamani ,Wema Sepetu sijamuona hapo.
Kwikwikwikwikwi..Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
Huyo papa la mji Sepetu..???Najua kilichokufanya uulize !
Harusi imefungwa Ngarassero Lodge Arusha..
Inasemekana ilifungwa KKKT usharika wa Ngarenaro Arusha kisha wakamalizia Hapo Lodge...Sio kanisani au msikitini?
Harusi kama hizi huwezi kuwaona wakina wema sepetu wa kiswazi Swazi , hapo wadada class tu kama mrs mengi ndo utawaona