Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,679
Pole mjukuu wangu kwa kuchelewa kulijua hili.Hapo zamani niliamini kuwa ukiwa mkubwa unafaidi tu!! Lkn mambo ni kinyume na matarajio!! ukubwa tayari!!. Sasa hivi ukiwa na pesa!! shikamoo pesa.
Ila mola jalia muungano wao uwe imara kuliko wa!! UK
Kama babu nilipaswa kukujuza mapema,sasa wewe usifanye hivyo kwa wajukuu.