Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Nampenda huyu dada basi tu... Bora niseme Ukweli
 
Una uhakika hakuhudhuria?
f5e38c3b48d96640ee04c5cde0e2bf4c.jpg
Nadhani hukunielewa niliye mu quote, anyway thanks kuondoa utata Dada mtu
 
Hhehehe my crazy cousin sis anasemaga yeye siku ya harusi yake, hadi ndugu atatukagua nguo zetu mapema, asiporidhika unabadilisha lol

Napenda wale maharusi ambao wanawaandalia wazazi wao wote nguo sawa. It's better kufanya hivyo kama huna uhakika na choices zao. Yani kuna harusi unakuta wazazi wa bi harusi wamependezaaa afu wa bwana harusi mmmh, or vice versa.

Kwa kweli ile ni big day ya mtu, afanye tu mwenyewe anavyotaka, nafsi yake ifurahi.

Hahah!, eti atakagua nguo za ndugu, that's funny.
Ni kweli, colour coordination kwa upande wa wazazi inapendezesha zaidi harusi.

Halafu for Nancy, seems like White was her theme.They wore white for the send-off, halafu hapa hata wasimamizi wako in white pia. Hii rangi yataka moyo lakini, especially, if it's 'everything white'
Naona ule mwiko wa (never wear white if the wedding is not yours) is not applicable anymore.
But I guess it's okay to wear white as long as the bride approves. And for this case, I think it was the colour of the wedding.
 
Ukiwa na hela jamani hata ukitaka kufungia harusi chumbani kwako Mchungaji atakufwata tu, wakati wengine tunang'ang'ana kuelekea kanisani
 
so lovely huchok kuwaangalia wamependeza Mwenyez Mungu awatangulie
 
Hahah!, eti atakagua nguo za ndugu, that's funny.
Ni kweli, colour coordination kwa upande wa wazazi inapendezesha zaidi harusi.

Halafu for Nancy, seems like White was her theme.They wore white for the send-off, halafu hapa hata wasimamizi wako in white pia. Hii rangi yataka moyo lakini, especially, if it's 'everything white'
Naona ule mwiko wa (never wear white if the wedding is not yours) is not applicable anymore.
But I guess it's okay to wear white as long as the bride approves. And for this case, I think it was the colour of the wedding.
Yeah white was her colour. Na naona wengi wanadare kuvaa white siku hizi. Wachache walianza kuvaa white Na maids zao only, baadaye ndo wakaanza na all white everything theme. Hivi shamim wa 8020 fashion kama sikosei her guests wedding colour was white also. Nimeona few harusi broke the rule also Kwa kuvaa white kama nakumbuka Solange Knowles did all white pia.

Ila I think bi harusi inabidi utokelezee haswa, hukawii kufunikwa na guests lol. Kila mtu anataka kuwa unique nowadays and honestly wanajitahidi kuwa unique
 
Hapo zamani niliamini kuwa ukiwa mkubwa unafaidi tu!! Lkn mambo ni kinyume na matarajio!! ukubwa tayari!!. Sasa hivi ukiwa na pesa!! shikamoo pesa.
Ila mola jalia muungano wao uwe imara kuliko wa!! UK
 
Hehehhee sitaki kucheka mimi. She has guts kwa kweli, pamoja na flavy afu still mtu anapendeza hivyo dooh

Umenikumbusha kuna mdada alileta story yake humu. Aliombwa awe matron harusi ya family friend . Bi harusi alikuwa wa mikoani kwetu and they never knew each other hadi siku ya harusi, na bi harusi nafikiri gauni lake alitoka nalo huko kwao. Matron huyo hadi kwa Eve collection kudesign jigauni and it seems like she was more beautiful than bi harusi, mbona matron alinuniwa na bi harusi siku yenyewe lol. (Me matron ntamchagua mwenyewe mwenzangu, sherehe yako ila kila mtu macho kwa matron akhaaaa)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inamaana Nakaya angeharibu picha au? Hawa wadada wa show off buana.. ndoa yenyewe kwa Nancy kakwiba mali ya watu na bado anaringia blood sister!
Kumbe hawaelewani na dadake? Daah hizi hela zinatia watu uchizi
 
Hahah!, eti atakagua nguo za ndugu, that's funny.
Ni kweli, colour coordination kwa upande wa wazazi inapendezesha zaidi harusi.

Halafu for Nancy, seems like White was her theme.They wore white for the send-off, halafu hapa hata wasimamizi wako in white pia. Hii rangi yataka moyo lakini, especially, if it's 'everything white'
Naona ule mwiko wa (never wear white if the wedding is not yours) is not applicable anymore.
But I guess it's okay to wear white as long as the bride approves. And for this case, I think it was the colour of the wedding.

Hehehe yani mnaingia ukumbini, all eyes kwa matron akhuuu
mko vizuri nyie kina Asia idorous
 
Back
Top Bottom