Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hehe tunajikutaga "fashion police" wenyewemko vizuri nyie kina Asia idorous
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe tunajikutaga "fashion police" wenyewemko vizuri nyie kina Asia idorous
Matron anavuta attention kuliko bibi harusi ndo mana wajanja huchagua wasioendana au ka wanafanana ila magauni huyatofautisha kwa kiwango kikubwaHehehe yani mnaingia ukumbini, all eyes kwa matron akhuuu
Nguo zitofautiane na mvuto asikuzidi pia. Maana kuna watu bana hata avae simple vipi anafunika tu tehMatron anavuta attention kuliko bibi harusi ndo mana wajanja huchagua wasioendana au ka wanafanana ila magauni huyatofautisha kwa kiwango kikubwa
Ndo maana mi nilimshangaa Mange alivyosema bride maids wamemwangusha na nguo zao, Hiyo ilikuwa siku ya Nancy , na sio rfk zake, yeye ndo alitakiwa awake haswaa, na ndo ilivyokuwaMatron anavuta attention kuliko bibi harusi ndo mana wajanja huchagua wasioendana au ka wanafanana ila magauni huyatofautisha kwa kiwango kikubwa
Na alifanya LA maana ilikuwa siku yake hata dress and everything was unique na Leo katokelezea hata Mpaka makeup wake yuko vzuri huyo mange harusi na send off yake alibandikwa ma makeup Mpaka basiNdo maana mi nilimshangaa Mange alivyosema bride maids wamemwangusha na nguo zao, Hiyo ilikuwa siku ya Nancy , na sio rfk zake, yeye ndo alitakiwa awake haswaa, na ndo ilivyokuwa
Nakibaliana na wewe kabisa nili attend one send off hyo nguo ya matron ilikua kituko hata style ya nywele was different bibi harusi mtarajiwa ndo alibanwa style nzuri na banio zuriNguo zitofautiane na mvuto asikuzidi pia. Maana kuna watu bana hata avae simple vipi anafunika tu teh
Kuna watu huwa wana utani, hadi nguo ya matron inabidi mchague wote. Sio mmoja anavaa hivi, mwingine utadhani kaja kusalimia tu harusiniNakibaliana na wewe kabisa nili attend one send off hyo nguo ya matron ilikua kituko hata style ya nywele was different bibi harusi mtarajiwa ndo alibanwa style nzuri na banio zuri
Umenena kabisaHili gauni ni kwa sababu tu kavaa Nancy, angevaa mdada mwingine wa mtaani lisingeonekana kama ni zuri.
Ni kweli kwenye. Kutafta msimamizi inabidi uchague in a such a way hatamwibia muhusika sikukuu yako mana event ka hyo inabidi wahusika wafunika kila idara sasa best man akimfunika muhisika au mdada haipendeziKuna watu huwa wana utani, hadi nguo ya matron inabidi mchague wote. Sio mmoja anavaa hivi, mwingine utadhani kaja kusalimia tu harusini
Afu wakaka wengi hawa-pay attention to such details. Kuna send off tulienda, jamani msimamizi wa bwana harusi mtarajiwa alikuwa cuteeee, kapendeza yani kila mtu alijua ndo muhusika kumbe mmh
Yeah white was her colour. Na naona wengi wanadare kuvaa white siku hizi. Wachache walianza kuvaa white Na maids zao only, baadaye ndo wakaanza na all white everything theme. Hivi shamim wa 8020 fashion kama sikosei her guests wedding colour was white also. Nimeona few harusi broke the rule also Kwa kuvaa white kama nakumbuka Solange Knowles did all white pia.
Ila I think bi harusi inabidi utokelezee haswa, hukawii kufunikwa na guests lol. Kila mtu anataka kuwa unique nowadays and honestly wanajitahidi kuwa unique
mko vizuri nyie kina Asia idorous
Hahaaa..Mola ajalie muungano huu usije kua kama wa Tanganyika na Zanzibar!
mko vizur kina Joan rivers..Teh!, tunavyojivisha u Fashion Police sasa.
Ndugu ni mtu yeyote unaeishinae vizuri kwa maana ya kushea na kukea,kuzaliwa siyo ishu,na unaozaliwanao mara nyingi ni haters tu.Kapendeza sana na hongera ila Nancy inaonyesha ana mind marafiki kuliko ndugu sijawahi ona mmeru huyu ana roho ngumu aisee.
Umetamani kuolewa au kugusanishia maeneo hayoMmmh jamani wamependeza+ mazingira mwaaaah. Yani hadi nimetamani lol[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85]
Tatizo la huyo ni foleni,mpaka nyama na ngozi vimelegeaahaa bhado wema