Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

Make up bila make up huyu dada mzuri.na mashoga zake classic fulani hivi.husikii mikwaruzano wala skendo. Hongera zake
Eeeh Nancy ni "mzuri", hanaga makorombwezo. Hili group wana "class", kugombana ni kawaida kwa binadamu, naamimi kuna muda wanatofautina, but what matters ni kwamba wanasolve issue zao maturely. No drama at all, fausta si nasikia walimtoa kwenye group sijui
 
Hehehe!, bi harusi akanuna akaona hii sasa imekuwa Shughuli, matron kupambika zaidi.

Lakini ni muhimu ku vet hata wasimamizi.
Niliona ma bi harusi wanafanya hivi, halafu wana suggest mpaka nguo ya mtu, sikujua kwa nini now I know.
Lakini I agree, kama harusi ni yako I believe you have all rights to do it the way, you, want it done.
It's one and only, special and most important day of your life. So gaal!, hell yea!, I believe you can do whatever you wish.
Hhehehe my crazy cousin sis anasemaga yeye siku ya harusi yake, hadi ndugu atatukagua nguo zetu mapema, asiporidhika unabadilisha lol

Napenda wale maharusi ambao wanawaandalia wazazi wao wote nguo sawa. It's better kufanya hivyo kama huna uhakika na choices zao. Yani kuna harusi unakuta wazazi wa bi harusi wamependezaaa afu wa bwana harusi mmmh, or vice versa.

Kwa kweli ile ni big day ya mtu, afanye tu mwenyewe anavyotaka, nafsi yake ifurahi.
 
umeongea ndugu tena nyingine baada ya harusi wanaanza kugongea nauli za kurudi mkoani.....
[emoji23][emoji23][emoji23] wanakulazimisha uwalipie nauli as if uliwalazimisha waje kuserebuka kwa harusi yako [emoji23][emoji23][emoji23]

#poormind#
 
NANCYYYYY.jpeg
Hongera sana Nancy Sumari kwa kufunga ndoa. Nawatakia maisha mema ya ndoa mkiwa sasa Mr and Mrs. Mlipendeza sana good Picture.
 
Kapendeza.

Mungu amsimamie apende watoto wa mume wake, na amuheshimu mama wa watoto wa mumewe yaani mke wa kwanza.
 
Back
Top Bottom