Nancy Sumari is officially Mrs. Neghesti

HIVI YULE MB DOGGY SIJUI,NDIO ANGEMUWEZA KWELI HUYU?HII NCHI HAIISHI VITUKO!
Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
 
Hasira zote hizi kakufanyia nini jaman,mbona hasira nyingi
 
Angemuweza wapi??Mtu mwenyewe anajiita MB...Wakati watu ni viwango vya GB na 4G.
Halafu anjiita DOG...Sasa wewe mwanamke una akili timamu ukamvulie nguo mtu anajiita Mbwa?Na kwa ufupi ule angekuwa anafika kwenye magoti ya Nancy!!Watu wafupi huwa wanalaziimisha sana...Huyo MB Dog aende kwa Linah Sanga...Wataendana kuanzia vigimbi mpaka ukomavu
Kwikwikwikwikwi..
 
Kapendezaa hasaaa.

Sio wenzangu na mie kuolewa na mitumbo hiyo!
Ona alivyo pendeza!
 
Back
Top Bottom