Nandy acha ushamba, Bukoba na Passport?

Nandy acha ushamba, Bukoba na Passport?

Passport ni moja ya kitambulisho!

Usitishike wala kushangaa!
 
Passport ni kama kitambulisho tuu, punguza roho ya inda
 
Passport ina shida gani,sometimes unaweza uka misplace kitambulisho halafu ukachukua passport,passport ni kama kitambulisho tu.
 
Kama mtu hana hivyo vitambulisho vingine ? Au may be akitoka Bukoba ana safari ya Uganda au Kenya !
Mkuu passport ni kitambulisho tu kama vitambulisho vingine.
We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
 
We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
Hehehee...atakayekuzingua baada ya huyu muite "kenge".
 
Pale mtu anapotafuta umbea alafu bila kujua aina gani umbea anatakiwa kuwa nao na kuutoa kwa watu

Passport Ni kitambulisho kama vitambulisho vingne tu acha ushamba
 
U
Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.

Sasa jaman Like seriously Bukoba unaenda na passport ? What for? Kitambulisho huna au ndo show off zisizokua na mbele wala nyuma, na hata kama uliamua kutumia passport ni Sawa huko kuishika mkononi na kujishaua nayo kitu gani ? Mxieew passport yenyewe ya Zamani, hata hainogi kupiga nayo picha tena, mwanamke punguza ulimbuken bwana, pesa unazo , kipaji unacho na uzuri unao, hayo mambo mengine yakupitege bwana na wewe , mxiew zako

Wanazengo Nandy ana show Uko Bukoba ukweni, nendeni kesho mkamsuport bidada, huwa kanajitahid sana kwa kweli
mixeeView attachment 1147393View attachment 1147394
Ukiondoa kitambulisho cha taifa ambavyo watu wengi hawana passport ndo kitambulisho namba moja kinachokubalika sehemu yoyote kwa sababu kina details zako zote na kinathibitisha bila shaka kama we we ni mtanzania unaweza kutoa kitambisho kingine sehemu kikakataliwa lakini passport inakubaliwa popote kwa hiyo kama unayo ni unaweza kwenda nayo mkoa wowote kama kitambulisho!..msipende Ku criticise vitu ambavyo hamna uhakika navyo!...
 
Ukitaka kumkomoa mwanamke mtumie mwanamke mwenzake.
 
We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
Dahh umenifanya nicheke 😀 😀 😀
 
Kuna video Niliiona kipindi cha nyuma. Afisa Habari wa Uhamiaji alilelezea hili. Akasema ni vyema passport ukaitunza vizuri na utumikaji wake uwe wakati unasafiri safari za nje Kama ni safari za ndani ihifadhi Vizuri nyumbani usisafiri nayo ovyo kwa safari za ndani ya nchi. Maana ikipotea na wakaja kukuuliza sababu za kupotea Ukisema Nilisafiri nayo safari za ndani wanaweza wakajua wewe sio mtunzaji na ukapata usumbufu kupata nyingine.
 
Tatizo mnadhani mtu akiwa celebrity anajua kila kitu, wanakuwa washamba sana upande mwingine. Huyu alidhani kila unapopanda ndege lazima awe na passport hata kama ni local routes! Na utakuta mara yake ya kwanza kupanda ndege alikwenda nje ya nchi kwa hiyo amekariri safari ya ndege lazima awe ma passport.
 
Bukoba ni kama hupo nje ya nchi
Kuna video Niliiona kipindi cha nyuma. Afisa Habari wa Uhamiaji alilelezea hili. Akasema ni vyema passport ukaitunza vizuri na utumikaji wake uwe wakati unasafiri safari za nje Kama ni safari za ndani ihifadhi Vizuri nyumbani usisafiri nayo ovyo kwa safari za ndani ya nchi. Maana ikipotea na wakaja kukuuliza sababu za kupotea Ukisema Nilisafiri nayo safari za ndani wanaweza wakajua wewe sio mtunzaji na ukapata usumbufu kupata nyingine.
 
Unahitaji kitambulisho cha kazi tu kupanda hiyo precision. Lakini hakukuwa na haja ya kuibeba mkononi.
 
Back
Top Bottom