Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wewe utaishi ukisoma umbea mpaka unakufa mbuzi wewe
We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
Hehehee...atakayekuzingua baada ya huyu muite "kenge".We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
Ukiondoa kitambulisho cha taifa ambavyo watu wengi hawana passport ndo kitambulisho namba moja kinachokubalika sehemu yoyote kwa sababu kina details zako zote na kinathibitisha bila shaka kama we we ni mtanzania unaweza kutoa kitambisho kingine sehemu kikakataliwa lakini passport inakubaliwa popote kwa hiyo kama unayo ni unaweza kwenda nayo mkoa wowote kama kitambulisho!..msipende Ku criticise vitu ambavyo hamna uhakika navyo!...Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.
Sasa jaman Like seriously Bukoba unaenda na passport ? What for? Kitambulisho huna au ndo show off zisizokua na mbele wala nyuma, na hata kama uliamua kutumia passport ni Sawa huko kuishika mkononi na kujishaua nayo kitu gani ? Mxieew passport yenyewe ya Zamani, hata hainogi kupiga nayo picha tena, mwanamke punguza ulimbuken bwana, pesa unazo , kipaji unacho na uzuri unao, hayo mambo mengine yakupitege bwana na wewe , mxiew zako
Wanazengo Nandy ana show Uko Bukoba ukweni, nendeni kesho mkamsuport bidada, huwa kanajitahid sana kwa kweli
mixeeView attachment 1147393View attachment 1147394
Dahh umenifanya nicheke 😀 😀 😀We mbweha kuna kitambulisho na hati ya kusafiria, kama vingekua sawa kusingekua na haja ya kuweka kitambulisho cha taifa na passport tofauti, mbweha wewe Rudi shule mbwa hii
Kuna video Niliiona kipindi cha nyuma. Afisa Habari wa Uhamiaji alilelezea hili. Akasema ni vyema passport ukaitunza vizuri na utumikaji wake uwe wakati unasafiri safari za nje Kama ni safari za ndani ihifadhi Vizuri nyumbani usisafiri nayo ovyo kwa safari za ndani ya nchi. Maana ikipotea na wakaja kukuuliza sababu za kupotea Ukisema Nilisafiri nayo safari za ndani wanaweza wakajua wewe sio mtunzaji na ukapata usumbufu kupata nyingine.