Mie kama mie ni shabiki wa mziki wwt mzuri lkn huyu dem(zuchu) yuko over-rated sana tena kupita maelezo. Naamini hata nandy kasifia tu ili mradi aonekane hana kinyongo nae lkn deep down hakuna talent yyt pale.
Tatizo wanamuziki wa kike bongo hawajishughulishi sana. Hata nandy angejishughulisha zaidi angekua mbali zaidi ya alipoletwa na marhem Ruge. Ruby, Maua sama, Veemoney wote hawa wangejishughulisha wangefika mbali coz vipaji vyao ni level za juu sana.
Zuchu anatembelea tu nyota ya WCB. hata @ZeroIq akianza kuimba leo ila chini ya wasafi lazima akiki sana tu coz ni wakati wa WCB huu.