Nandy amsifia Zuchu

Nandy amsifia Zuchu

Kwa kujadiliwa huku inaonekana Zuchu kapenya kisawasawa sema tu wajuba wanajitahid kushupaza shingo

Kuna madogo km Ibrah na Tommy flavour wametambulishwa kipindi hikihiki lakin kila leo Zuchuuu Zuchuuu afu mnajifanya hammkubali... Hivi kibaya kumbe huwa kinapendwa hivi? Aisee! noma sana hahahaaah!
 
Put your friends close, but your enemies closer. It is a war tactic!
 
Mie kama mie ni shabiki wa mziki wwt mzuri lkn huyu dem(zuchu) yuko over-rated sana tena kupita maelezo. Naamini hata nandy kasifia tu ili mradi aonekane hana kinyongo nae lkn deep down hakuna talent yyt pale.

Tatizo wanamuziki wa kike bongo hawajishughulishi sana. Hata nandy angejishughulisha zaidi angekua mbali zaidi ya alipoletwa na marhem Ruge. Ruby, Maua sama, Veemoney wote hawa wangejishughulisha wangefika mbali coz vipaji vyao ni level za juu sana.

Zuchu anatembelea tu nyota ya WCB. hata @ZeroIq akianza kuimba leo ila chini ya wasafi lazima akiki sana tu coz ni wakati wa WCB huu.
Wewe na nandy Nani anajua mziki?
 
Back
Top Bottom