FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Acha kuingiza maharage kwny mada za kijinga Mkuu..huyu zuchu bila wcb ni kama maharage bila wali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuingiza maharage kwny mada za kijinga Mkuu..huyu zuchu bila wcb ni kama maharage bila wali
ahahahaAcha kuingiza maharage kwny mada za kijinga Mkuu..
Vanessa hausiki hapaaaaah Tena asiguswe kabisaahNandi+ruby+Takataka zote = Zuchu
Diamond+ Alikiba+ Harmonize+Takatakazote= Ibrah_Tz
Wewe na nandy Nani anajua mziki?Mie kama mie ni shabiki wa mziki wwt mzuri lkn huyu dem(zuchu) yuko over-rated sana tena kupita maelezo. Naamini hata nandy kasifia tu ili mradi aonekane hana kinyongo nae lkn deep down hakuna talent yyt pale.
Tatizo wanamuziki wa kike bongo hawajishughulishi sana. Hata nandy angejishughulisha zaidi angekua mbali zaidi ya alipoletwa na marhem Ruge. Ruby, Maua sama, Veemoney wote hawa wangejishughulisha wangefika mbali coz vipaji vyao ni level za juu sana.
Zuchu anatembelea tu nyota ya WCB. hata @ZeroIq akianza kuimba leo ila chini ya wasafi lazima akiki sana tu coz ni wakati wa WCB huu.
Wewe na nandy Nani anajua mziki?