Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huyu Zuchu nashindwa kumuelewa kama anaimba Bongo fleva au Taarab-bongofleva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Ruby anakwama wapi?Mimi namkubali zuchu...lakini mkuu achana na ruby kabisa yule sio mtu wa kawaidaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Management plus kiburiiSasa Ruby anakwama wapi?
Bora umeongea, acheni kumfananisha Ruby na vitu vya ajabu.Mimi namkubali zuchu...lakini mkuu achana na ruby kabisa yule sio mtu wa kawaidaa
Sent using Jamii Forums mobile app
20.. Zuchu1,Lady JayD
2,Ray C
3,Mwasiti
4,Nandy
5,Pauline Zongo
6,Zay B
7,Sister P
8,Rubby
9,
10,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu. Ruby yuko vema sana ila ana matatizo yake ndo yanamuharibu tuuBora umeongea, acheni kumfananisha Ruby na vitu vya ajabu.
Ndio kwanza ana IP wangapi walikuja na speed kama hii wakapotea embu wacha muda utasema kuwa anauwezo au hana.Anakuaje overrated wakati wasanii wenzake pia Wana appreciate uwezo wake
Wimbo sio mbaya ila sio mkali kiasi cha kulinganisha na breakthrough songs za wasanii mnaomlinganisha nae
Wana utailinganisha na nayule ya Ruby au closer ya vanessa ???....
Hiyo EP yake ina ngoma kali kama closer, come over, nobody but me, Siri au hawajui za vanessaa
She is overrated !!!!..
Sure!Niwe mkwel huyu zuchu sio mkali Kama mnavyotuaminisha ..
Bado inabidi ajifunze vingi mnoo..
Overrated...!
Yeye anadhani followers na viewers aliopata ni jitihada zake.. Kumbe ni wa wasafi wale. Ukiandika unawaacha..
Ukiwa wcb mafans wa mondi automatically wanakuwa wa kwako pia..
Zuchu is overrated
mkuu nunua barakoa popote nakuja kulipiaSure!
Numbers dont lie. Em angalia
Mondi ana followers karibu 9m kwa sasa, na kila mara anampost na kumtag zuchu huku anahimiza watu wakamfollow na pia wa-subscribe.
Graph yake ya kuongezeka kwa followers na sub inaenda ina-flatten zaid ya muda unavyosonga.
Nguvu ilotumiwa kumpromote zuchu ingetumiwa kwa hata yule dem aloshinda BSS mwaka juzi nadhan kwa sasa ndo angekua the most subscribed female artist hapa tz
Time will tell tusiongee sana coz bongo kila critic wanasema ni hater, ila hakuna mziki wwt pale zaidi ya kutuharibia tu radha ya mziki wa bongo na kufunika kazi za watu wengine.
Promo ya mond pamoja na wasafi ndio inayombeba sasa hivi kuimba bado hajaweza labda waendelee kumnoa noa atakuwa vizuri.katoto kameanza kuvimba kichwa mapemaMie kama mie ni shabiki wa mziki wwt mzuri lkn huyu dem(zuchu) yuko over-rated sana tena kupita maelezo. Naamini hata nandy kasifia tu ili mradi aonekane hana kinyongo nae lkn deep down hakuna talent yyt pale.
Tatizo wanamuziki wa kike bongo hawajishughulishi sana. Hata nandy angejishughulisha zaidi angekua mbali zaidi ya alipoletwa na marhem Ruge. Ruby, Maua sama, Veemoney wote hawa wangejishughulisha wangefika mbali coz vipaji vyao ni level za juu sana.
Zuchu anatembelea tu nyota ya WCB. hata @ZeroIq akianza kuimba leo ila chini ya wasafi lazima akiki sana tu coz ni wakati wa WCB huu.
Ubora wa mwanuziki sio kuimba tu sasa mbona ruby anatungiwa nyimboKweli kabisa, ruby ni mhimili uliojichimbia chini zaidi.
Umeshiba matapishiNandi+ruby+Takataka zote = Zuchu
Diamond+ Alikiba+ Harmonize+Takatakazote= Ibrah_Tz