Nandy anajua

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei.
Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri.
Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri ila ukakosea kwenye melody na hili ndilo kosa wanalofanya wasanii wengi.
Wimbo hasa wa mapenzi inabidi uwe na melody ambayo mtu akiisikia anahisi umemwakilisha na akikaa iring back kwenye kichwa.
Keep it up nandy
 
mkuu attach io kitu aisee.. i like her music kwa kwel...yuko poa sana
 
mkuu attach io kitu aisee.. i like her music kwa kwel...yuko poa sana
Aisee naona bado haijapandishwa online, ila nimeiskia kwenye leo tena na xxl, nimeisaka hwani sijaipata hata insta hajaweka link.
Ila mkuu ngoma tamu sana anajua sana
 
Aisee naona bado haijapandishwa online, ila nimeiskia kwenye leo tena na xxl, nimeisaka hwani sijaipata hata insta hajaweka link.
Ila mkuu ngoma tamu sana anajua sana
ngoja niusakalanye... kanajitahid sana kale kabinti
 
Naomba na mimi.
Nimsifie msanii wangu.
Baraka the [emoji146]
Na hii nyimbo ya some times. Ni nomaaaa.
[emoji38][emoji38][emoji38]..sema apunguze kunata.. alikuja vizur sana ila kwasasa naona ka kapwaya hivi... ile siwezi ni hatari mkuu
 
Mi mwanzoni nilijua anabebwa na Mawingu ili kumpoteza Ruby ila nilifuta mawazo hayo niliposikia 'wasikudanganye', pale alionyesha uwezo mkubwa, ngoja niutafute huo mpya
 
sio anatembelea footprints za ruby maana hadi sauti ya uimbaji kama ya ruby
 
Mi mwanzoni nilijua anabebwa na Mawingu ili kumpoteza Ruby ila nilifuta mawazo hayo niliposikia 'wasikudanganye', pale alionyesha uwezo mkubwa, ngoja niutafute huo mpya
Watu wengi wanasema hivyo lakini muda unazidi onyesha uwezo wake.
 
sio anatembelea footprints za ruby maana hadi sauti ya uimbaji kama ya ruby
Kumbuka nandy alishinda shindano kubwa la kuimba.
She is talented na wajua watunzi wa ruby ndiyo watunzi wa nandy sasa wazee wa tht.
Unaweza kuwa una sauti wajua kuimba lakini utunzi 0
 
Kumbuka nandy alishinda shindano kubwa la kuimba.
She is talented na wajua watunzi wa ruby ndiyo watunzi wa nandy sasa wazee wa tht.
Unaweza kuwa una sauti wajua kuimba lakini utunzi 0
kwani ruby hakushinda shindano kubwa au mwenzetu mziki unaufuatiliaje na kuhusu utunzi hata ruby anaweza sana mbona.....point yako sijaielewa hapo
 
Kuna watu wana maneno umu walisema nandy anavipaja kama vya njiwa jamn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…