elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei.
Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri.
Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri ila ukakosea kwenye melody na hili ndilo kosa wanalofanya wasanii wengi.
Wimbo hasa wa mapenzi inabidi uwe na melody ambayo mtu akiisikia anahisi umemwakilisha na akikaa iring back kwenye kichwa.
Keep it up nandy