elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
-
- #21
Nilikuwa napingana na hoja yako ya kusema anatembelea footprints za ruby.kwani ruby hakushinda shindano kubwa au mwenzetu mziki unaufuatiliaje na kuhusu utunzi hata ruby anaweza sana mbona.....point yako sijaielewa hapo
mkuu attach io kitu aisee.. i like her music kwa kwel...yuko poa sana
Aliyebeba tuzo ya AfrimmaMsanii wa mawingu
Hivi yuko wapi huyo shauri nyingine maana hasikikuNandy is okay, lakini Ruby ni shauri nyingine. The truth must be told.
Njoo pm nikupe namba yakeYuko vizur mi nandy nampenda sana nisaidieni njia ya kumpata jamaa
Maskinii...hivi alianzaje kuwavimbia mawingu? Arudi akaombe msamahaRuby anasuka nywele za kimasai mwananyamala kwa kopa
KajitahidiMi mwanzoni nilijua anabebwa na Mawingu ili kumpoteza Ruby ila nilifuta mawazo hayo niliposikia 'wasikudanganye', pale alionyesha uwezo mkubwa, ngoja niutafute huo mpya
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei.
Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri.
Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri ila ukakosea kwenye melody na hili ndilo kosa wanalofanya wasanii wengi.
Wimbo hasa wa mapenzi inabidi uwe na melody ambayo mtu akiisikia anahisi umemwakilisha na akikaa iring back kwenye kichwa.
Keep it up nandy