Nandy anazidi kupotea

Tatizo wanapiga kelele awajui lolote kuhusu mziki, wqnafikiri mziki ni kama mambo ya ccm na chadema[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hao ni mamburura , mpak Nandy atangaze kustaaf mziki sababu ya hasara ndo wataelewa ...kama yaliyomkuta vanesa , sa hv Nandy Hana backup support ya kumsukuma zaid ya misukule akina Mwijaku wacheza porn 😀😀😀😀
 
Mie sio muumini sana wa WCB, ila hili la kuporomoka kwa nandy nililiona na nafikiri nitaendelea kuliona..

Kuna mahali hapapo sawa kwenye Management yake kwa ujumla.

Akae chini atafakari.

Unaweza ukaweka Data zinazoonyesha jinsi Nandy alivyoporomoka? Ebu tupe stastistics kuanzia 2016 hadi sasa 2021.
-Data zako zilenge katika nyanja hizi:-

1.Mauzo Online.
2.Idadi ya Shows.
3.Endorsements
4.Net Worth
5.Collaborations
 
Unaweza ukaweka Data zinazoonyesha jinsi Nandy alivyoporomoka? Ebu tupe stastistics kuanzia 2016 hadi sasa 2021.
-Data zako zilenge katika nyanja hizi:-

1.Mauzo Online.
2.Idadi ya Shows.
3.Endorsements
4.Net Worth
5.Collaborations
Unaambiwa nandy sio yule wa kivuruge, ina maanisha data za kuanzia 2016 hazitokua sahihi mkuu..ni recently hafanyi vizuri
 
Unaambiwa nandy sio yule wa kivuruge, ina maanisha data za kuanzia 2016 hazitokua sahihi mkuu..ni recently hafanyi vizuri
Huo ni mtizamo wake na wako ,Marekani wana RIAA ndio inafanya Research kuhusu Music Industry ndio wanatoa Certifications ya hizo unazozisikia Platnum etc wanaweka data based na research na sio mihemko...Wewe umekazania sijui nandy wa leo sio wa kivuruge na bila kusema diamond wa nenda kamwambie/mbagala/nitarejea ndio huyu wa makopokopo?
 
Kolabo na Koffi ilitakiwa ijiuze yenyewe nje ya bongo. Hii imefeli. Koffi mkubwa sana huwezi kufanya kolabo nae halafu utegemee au kulaumu vikiki vya bongo!! Yule akitoa ngoma mpaka kina Etto, Pogba wanasikiliza na kuipaisha.
Kwenye kolabo, Nandy angefanya re-mix ya nyimbo yake yoyote ya zamani iliyo-hit, kama Ninogeshe, nk anaongezea tempo, koffi anaweka verse na vikolombwezo, kazi kwisha. Sijui kwa nini wanaona aibu kufanya re-mix na hawajifunzi kwa mwenzao kwenye Yoppe na Waah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…