chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Anacheza kwa kupania sana nguvu anayotumia inazidi kasi ha wimbo
Ila huo wimbo sio mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huo wimbo sio mzuri.
Ila koffii nae kama kafulia kwa ukubwa ile kuja kufanya colabo bongo mweeKolabo na Koffi ilitakiwa ijiuze yenyewe nje ya bongo. Hii imefeli. Koffi mkubwa sana huwezi kufanya kolabo nae halafu utegemee au kulaumu vikiki vya bongo!! Yule akitoa ngoma mpaka kina Etto, Pogba wanasikiliza na kuipaisha.
Kwenye kolabo, Nandy angefanya re-mix ya nyimbo yake yoyote ya zamani iliyo-hit, kama Ninogeshe, nk anaongezea tempo, koffi anaweka verse na vikolombwezo, kazi kwisha. Sijui kwa nini wanaona aibu kufanya re-mix na hawajifunzi kwa mwenzao kwenye Yoppe na Waah!!
Ila koffii nae kama kafulia kwa ukubwa ile kuja kufanya colabo bongo mwee
Si anaangalia maslahiIla koffii nae kama kafulia kwa ukubwa ile kuja kufanya colabo bongo mwee
ImagineSiku hizi uzuri wa wimbo unapimwa kwa wingi wa views Tanzania.
Nchi hii ngumu
Ila mjanja sana. Ukiangalia umri wake na alipotokea toka enzi za kina Papa Wemba mpaka kizazi cha sasa utagundua ni smart.Ila koffii nae kama kafulia kwa ukubwa ile kuja kufanya colabo bongo mwee
Mziki wa YouTube ni mgum sana kwa kipindi hiki Hata hyo WCB wanahaha kufika Hiyo one m views
Siku hizi uzuri wa wimbo unapimwa kwa wingi wa views Tanzania.
Nchi hii ngumu
Tatizo wakitoka kidogo wanatulingia.View attachment 1714923
Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.
Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.
Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.
Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.
Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.
Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.
Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.
Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
Haka katoto kanasauti nzuri! Kanahitaji watu wajanja sana, kanauwezo Wa kutoboa dunia nzima wakakajua ila nahisi hakajapata watu sahihi Mkuu!Anacheza kwa kupania sana nguvu anayotumia inazidi kasi ha wimbo
Acha kukaza kichwa mkuu, Vitu vingine ni dhahiri na haviitaji ata DATA yoyoteUnaweza ukaweka Data zinazoonyesha jinsi Nandy alivyoporomoka? Ebu tupe stastistics kuanzia 2016 hadi sasa 2021.
-Data zako zilenge katika nyanja hizi:-
1.Mauzo Online.
2.Idadi ya Shows.
3.Endorsements
4.Net Worth
5.Collaborations
Kwamba amepigwa kipapai 🤣 a.k.a karunguyeye 🤣🤣🤣 nouma sanaTatizo shoga kidawa anajichetua mno na kulazimisha kushindana na akina flan , mbona zaman Alikua ana relax tu na anaimba vzur , siku hiz nandy kamekua na sifa za kijinga tofauti na zamani
Kingine pia kuna watu wanamfanyia figisu, industry ya mziki Ina changamoto kubwa sana, kurogana ndo usiseme , Nandy asipokua strong atajikuta anaingia kwenye level za kina Mwasi tu au ruby
But so far , Nandy bado ni Msanii bora wa kike ukizingatia hana management kubwa anajisimamia mwenyew
Husiano wenu before????Tatizo wakitoka kidogo wanatulingia.
Imagine Nandy hajibu sms zangu
Acha kukaza kichwa mkuu, Vitu vingine ni dhahiri na haviitaji ata DATA yoyote
.
Cha kwanza kwenye mauzo online, Nandy hayupo ata top5 kwa wanaoingiza mpunga mref
Cha pili kwny shows, nandy hana show yoyote kubwa aliofanya nchini na ata kimataifa zaidi ya kwenda kunengua na MaDJ club
Inshort, atazidi kupotea kama hatoshtuka mapema