Nandy anazidi kupotea

Nandy anazidi kupotea

Basi hapo mmeanza kumshindanisha na mtu... Ovyo kabisa

Hoja ni Nandy bila strategist Ruge ni mweupe kama Baraka the prince, Nandy hatupendi apotee lakini kashuka kwa sasa na tunakumbushia tu Waah ilipohit tulisema koffi kaibeba waah maana ana mashabiki mnashindwa kukumbuka koffi kafanya ngoma na domo akiwa na followers 600k wiki mbili tu akawa kagonga milioni moja wakati huo diamond ana wafuasi milion 11 , sasa Nandy katoa na koffi mbona fanbase ya koffi haioneshi makali? Sukari ya Zuchu tena peke yake imetembea kama umande bondeni, Nandy akubali kwa sasa amedrop akae chini aangalie kakosea wapi.
 
Nyimbo ilikufa baada ya kuonekana hajui kupamba meza, na vyombo anavotumia kwahiyo headlines ya media ikawa kwenye nandy na vyombo vyake na akaongeza muda kukubali kupewa vyombo hivo hiyo ikawa habari kubwa anatoa ngoma watu washaachana nae, wanaendelea na mengine
 
Hoja ni Nandy bila strategist Ruge ni mweupe kama Baraka the prince, Nandy hatupendi apotee lakini kashuka kwa sasa na tunakumbushia tu Waah ilipohit tulisema koffi kaibeba waah maana ana mashabiki mnashindwa kukumbuka koffi kafanya ngoma na domo akiwa na followers 600k wiki mbili tu akawa kagonga milioni moja wakati huo diamond ana wafuasi milion 11 , sasa Nandy katoa na koffi mbona fanbase ya koffi haioneshi makali? Sukari ya Zuchu tena peke yake imetembea kama umande bondeni, Nandy akubali kwa sasa amedrop akae chini aangalie kakosea wapi.
Hapo kweny waah wanajifanya wmesahau walivyo sema...et ooh waah imetoboa kisa mopao yupo...mimi nikasema mbona mopao yeye mwenyew hana record kama ya waah? Waksema hakuna kitu mopao ndo katembeza waah na sio kwamba ngoma ni kali.. Mungu si Athuman bwana...mopao kapiga Ngoma na nandy ,hakuna hata chembe ya record[emoji3] ,sasa walosema Koffi ndio kila kitu mbona kweny hii Ngoma mambo sio mambo...wmekimbia mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Wanasahau walivomstress Ruby akawa kama yatima kwenye game, wakasahau what goes around, comes around sasa Ruby alishuka Nandy akapanda leo yako wapi, ukumbuke hao hao walianzisha kampeni ya mfalme anarudi kukalia kiti chake afute uchafu yaani wanasahau diamond aliitwa uchafu kisa tu kiba arudi kwenye game na mond ashuke wakasahau kua mond alikua tayari moto mwingine wanashangaza kweli hawa
 
Watu mnasahau kua mond alisusiwa kupigwa nyimbo zake redion, tv zote zikamuacha , dogo akawekeza kwenye digital platform kwa nguvu kubwa kwanza ndio akaanza kulipwa pesa nyingi huko akahakikisha anawekeza zaidi leo youtube anakaribia wafuasi milioni tano, leo diamond anawafuasi kuliko redio na tv zote zilizombania na mkumbuke mlikua kundi moja huko,
 
Ukiachana na utunzi mbovu wa kukurupuka kunakosababishwa na kubabaika , uwezo mdogo wa kutunga mashairi konki, kujaribu kumantain hadhi ambayo kiuhalisia Hana , ...Nandy pia anaangushwa na chawa wake hasa member wa clouds na wengineo ambao wanampaisha against WCB na kutengeneza chuki Kali miongoni Kwa mashabiki at the same time hao chawa wake wameonyesha hawana uwezo wa kumsaidia kwenye industry , too weakness and totally helpless , .....
Nyimbo za kunengua Nady hamna , sauti tamu kabisa Ile inafaa nyimbo style za akina Celine Dion sasa kunengua nengua huko daaah , anakodolea kamera mpak sio powah....

Kibongo bongo ukishatoka YouTube ndo itakuonyesha how powerful you're ...Kwa sababu media nyingi zina makundi , media flani na flani hazitacheza nyimbo zako na utapondwa but YouTube ni free no barrier , ukipaaa kweli unajua , na ukishuka jua kuna sehemu umezingua ,.....

Ruge alijua udhaifu wa Nandy thus why alimtaftia watunzi , ajikubali kuwa ni dhaifu kwenye utunzi , atafte vijana wamtungie awalipe vyema , aendelee kukimbiza.... Istoshe backup ya media karbia zote + WCB zinacheza nyimbo zake Kwa uzuri

Kuendelea kumtetea wakat ana go down huo ni ujinga ...alaf kuna wanaodai et fitina, aisee hapa duniani fitina ni sehemu ya maisha , fitina utafanyiwa tuuu , Ruge alimfitini Diamond Kias cha kutochezwa nyimbo zake MTV Base , Ila mwamba alipambana akapitia Nigeria ..zote hzo ni kukabili fitina , fitina zipo Tu na kurogwa unarogwa tuuu hamna huruma hapa duniani kilichopo ni kupambana mpak tone la mwisho huku ukitatua udhaifu unaotokea njian....

Mwisho kabisa ukiona huwez kupambana nao , basi ungana nao...if you can't beat them, join them
 
Kwa sasa maisha tuu ni magumu bando la.kuangalia yu tyubu watu hawana. Si wasanii wa dablusibii sio wa konde genge
 
Na nyie mnataka wasanii wote wamlambe matako dimond?.sio kwamba simpendi mond noo haina maana mkiona msanii fulani anakua mnaanza kumcompare na D
 
Watetezi wa Nandy wote huwa wanakimbilia kuwashambulia WCB na Wana chuki Kali kwel kweli 😋...basi apambane sasa asilaumu mtu, astafte pa kufia....
 
Na nyie mnataka wasanii wote wamlambe matako dimond?.sio kwamba simpendi mond noo haina maana mkiona msanii fulani anakua mnaanza kumcompare na D
Mara nyingi watu wanao mchukia Diamond ndio wanaofanya comparison,tukianza kwa Kiba,Aslay,Darrasa na nia kuonyesha Diamond si lolote na wana amini wakifanya hivyo kuna mboost msanii kumbe ndio wana haribu.

Ila mwisho wa siku wanakuja kugundua mwana fighter na ana stamina.
 
Na nyie mnataka wasanii wote wamlambe matako dimond?.sio kwamba simpendi mond noo haina maana mkiona msanii fulani anakua mnaanza kumcompare na D
Hawa jamaa itakuwa domo anawafilimba urembe, type za kina anti Levo kabisa. Sio bure
 
View attachment 1714923

Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.

Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.

Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.

Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.

Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.

Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.

Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.

Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
Uchawi umeanzia kwako, hujasubscribe wala kulike wala kukoment ila umekuwa mwepesi kuja kutangaza anguko lake hapa[emoji848]
 
Waache wacheke nae na hivyo hacheleweshi
Yalianzia hapa: Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Baada ya kum-pressurize Jide, ni kama aliwapa Support mpaka Kwenye brand show yao ya "I am Zuchu" Jide alikuwepo akawapa support, so wamempumzisha.

Ila Yeye Jide ameandaa show hata support hayakumpa. Hii mijitu ni zaidi ya CHATU.

1614703250574.png

Yaani yanatamani kila msanii amwabudu Domokaya.

Kama huijui, unaweza kudhani ni mijitu yenye nia njema. Huyo Nandy inapambana naye kwa kuwa anafanya vizuri.

Siku akibuma kama kina Linah, Mwasiti, Ray C huwezi kuiona tena hii vita.

Kabla ya hapo, yalimtumia sana Gig Money kumtukana Nandy

View attachment 1714923

Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.

Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.

Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.

Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.

Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.

Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.

Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.

Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
Sasa afanyaje?? embu toa solutions sio unakosoa tu tengeneza hoja vizuri
 
Waah inaribia viewers 50M ndani ya miezi 3 na kidogo
Hapo kweny waah wanajifanya wmesahau walivyo sema...et ooh waah imetoboa kisa mopao yupo...mimi nikasema mbona mopao yeye mwenyew hana record kama ya waah? Waksema hakuna kitu mopao ndo katembeza waah na sio kwamba ngoma ni kali.. Mungu si Athuman bwana...mopao kapiga Ngoma na nandy ,hakuna hata chembe ya record[emoji3] ,sasa walosema Koffi ndio kila kitu mbona kweny hii Ngoma mambo sio mambo...wmekimbia mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Nakubali maana hata hao dabliyusibii ukitoa Simba waliobaki nao wanahaha kupata hizo 1M viewers

Back
Top Bottom