Yeah n ukweli mtupu, wamebaki marafiki wa kitambo, sasa ni maadui kwenye game. Nandy na zuuchu baby[emoji16] walikuwa n marafk sanaaa, Nigeria wameenda pa1 kutest vipaji vyao, though uwezo wa zuchu ulikuwa unaonekana kuwa n mkubwa sana kule kule Nigeria, walivorudi bongo, WCB walionyesha interest ya kuwa-sign na walianza training pa1 but nandy alichukuliwa na yule hayati aliyekuwa mwamba wa cloud media, ko alibaki zuuchu baby[emoji16], amehustle sana zuchu kidg kukata tamaa ndo amekuja kutoka mwaka jana kwa kusainiwa officially WCB, amejifunza vingi mnooo, anazo siraha nyingi mnooo bado muda haujatosha.
Amini rayvanny kuna wimbo kaimba
" ...mziki shule watoto walikimbia umandee,
sasa wanashindanisha pirau na makande,
Nenda kawange ila bado utaka upandee,
Naitwa chui toka wasafi kwenye ukoo wa mzee nyange..."
Hii mistari ina maana kubwa sana. Now mwingine yupo jikoni kupikwa, akitoka tuu bado atalinganishwa na wengine kama akina Ibra wa hamonayiza[emoji16], ali apewe attention kumbe ndo kumpaisha hivyo kimziki.
Ili msaani fulani akue na pia yeye mwenyewe akaze n lazima alinganishwe na msaani aliyejuu yake, mf hamoniyiza na mondi[emoji16][emoji16][emoji16], lengo ni ili hamonayiza akue, but now naye hajui namna na kugangamala na mondi bc ndo hivyo tena nae mzk wake unadumaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]