Nandy anazidi kupotea

Nandy anazidi kupotea

Kwani unadhan mie ndo sijui km alitoa press kuhusu suala hilo? Yaan niwe fan kindaki ndaki wake nisijue hilo? Mwenzio muda wote nipo ktk page zake ktk mitandao yote aliyopo. Chochote kumuhusu akitoa public lazima niwe seat ya mbele kupata,
Siku ile ameveshwa Pete na shemela wa taifa, nililia machozi ya furaha utadhan mie ndo nimeveshwa, sijui sasa siku ya ndoa itakuaje lol.
Narudia tena kwa sasa hakna wa kumfikia vee yeyote kati ya hao watu wenu. Na itachukua muda mrefu sana kumfikia.
Aya, nimechoka😁
 
fanyeni kazi acheni wivu.
Yani view za You Tube ndiyo reference za msanii kufanya vizuri??

Hebu tafuteni pesa mpeleke watoto wenu wakasome shule nzuri ili wasiwe na vichwa vizito kufanya reasoning kama vyenu.
 
Kwenda huko, mnakera sana nyie chawa wa WCB, kutwa kushindanisha watu wala nje na hapo usafini, km kushindanisha washindanisheni wengine sio Vanessa, muulize huyo DOMOKAYA wenu, km hamkubali vee.

Huyo Zuchu atoke hapo WCB, ajisimamie mwenyewe ndo tuanze kuwashindanisha, yule label inambeba hana lolote. Khaaaaah
Hebu relax kwanza...[emoji3] Kwaiyo label ndio inatunga ngoma kali sio? Mana ngoma zinaenda mpaka Hispania ,kwaiyo wcb ndio inafanya hayo? Alafu zuchu hapigwi media zote kama nandy.nandy anapigw mpaka usafini..tatizo CMG ndio basi tena..mlimzoesha kumtungia ngoma sasa mmekimbia mtoto wa watu [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Sipendi kulinganisha linganisha watu au ushabiki kwenye burudani ambayo tunapatiwa kwa kutumia vipawa vya wasanii tena wengine hata hatulipii. Ningefurahi kama tungesimama pamoja kuwasapoti hawa vijana waweze kula matunda ya ubunifu wao

Burudani wanayotoa ni kubwa mno inatuliwaza na wengine ndio tunatumia hizo hizo nyimbo kubembelezea wake zetu au kuolea kabisa na wala hatuna shukrani.

Mie msanii yoyote nchini nampenda awe WCB awe Kings Music provided napata chakula cha nafsi

Hapa namaliza kupakua (bure) albam ya Lady Jaydee natamani siku nikimuona nimpe hata elfu 10 ya vocha dada wa watu. Kaanza kutumbuiza toka FM Radio ndio zinaingia mpk leo Mungu ampe hitaji la moyo wake
 
View attachment 1714923

Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.

Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.

Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.

Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.

Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.

Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.

Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.

Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
aishie kabisa mjinga huyu. kati ya vidada nisivyopenda hata kuviangalia ni hiki. sababu kubwa ni kwamba, huwa namwona yupo innocent sana hastahili kuwa mwanamziki na kufanya ufirauni wa aina hiyo. alistahili kufanya kazi ya heshima, hata ukimwangalia usoni anastahili heshima sio ya kibongofleva. ndio maana nimeishia kukachukia tu kutokana na anayoyafanya.
 
Siyo kila mtu anafuatilia maupuuzi ya hao akina Ray na Paula, ni nyie washamba shamba tuu...
UKO KWENYE JUKWAA LA CELEBRITIES NENDA JUKWAA LINALOKUFAA UNATAFUTA NINI HUMU DUMB BITCH
 
Hiyo "sukari" imehit kwakua yupo ndani ya label, atoke nje then atoe hit tena inaweza kuwa kali zaid ya hiyo, afu uone matokeo yake.
Kama Ni hivyo mbona queen darling ajawahitoa hit song Kama sukari wakati yupo ndani ya WCB?
 
Duuu, dada rudia kusoma tena, ukiona kuna sehemu niliyoandika v ashindanishwe na nandy au zuuchu baby bc njoo nipige faini[emoji38],
Nimesema saiz nandy na zuchu ndo wamebaki kwenye uadui wa kimzk toka walivyokuwa marafk wakubwa kipind wanahustle kule Nigeria, nimetoa mfano mwingne kwa harmonize pia Ibra but sijamweka v coz bado hakuna nitakayemringanisha nae. But si muda ataringanishwa tu upende usipende. Saiz tunashindwa kwani mafanikio ya v n makubwa sanaaa kimzki enzi zake. But akitokea atakaye yakaribia hayo mafaniko ndipo tutaanza kuwalinganisha. Kulinganishwa haiepukiki.
Sasa uwaambie hawa chawa wa WCB wajue hilo, maana wanajitoa ufahamu, mie wananikera na kuniboa kumfananisha vee na hawa vidampa. Khaaaaaah.
 
fanyeni kazi acheni wivu.
Yani view za You Tube ndiyo reference za msanii kufanya vizuri??

Hebu tafuteni pesa mpeleke watoto wenu wakasome shule nzuri ili wasiwe na vichwa vizito kufanya reasoning kama vyenu.
Hakika kabisaaah.
 
Hebu relax kwanza...[emoji3] Kwaiyo label ndio inatunga ngoma kali sio? Mana ngoma zinaenda mpaka Hispania ,kwaiyo wcb ndio inafanya hayo? Alafu zuchu hapigwi media zote kama nandy.nandy anapigw mpaka usafini..tatizo CMG ndio basi tena..mlimzoesha kumtungia ngoma sasa mmekimbia mtoto wa watu [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sizungumzii nandy mie, huyo nandy na zuchu wenu washindanisheni hata milele yote wala hamtaona kelele zangu,
Ila sio kumuhusisha Vanessa, hapo nitakemea sana.
Vee hana wa kumkuta hao wote mnaowashindanisha hata wakiungana hawamuwezi kamweeeh.
 
Huyo darleen wako hata simjui mie, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tu kubali zuchu uwezo wake Ni mkubwa kwanza wimbo wa sukari haikupewa promo kabisa na management ya Wasafi zaidi ya zuchu mwenyewe kuipa promo tofauti na nyimbo zake zingine
 
Wewe tu kubali zuchu uwezo wake Ni mkubwa kwanza wimbo wa sukari haikupewa promo kabisa na management ya Wasafi zaidi ya zuchu mwenyewe kuipa promo tofauti na nyimbo zake zingine
Mie sijakataa uwezo wake huyo zuchu, pia nachokataa kusindanishwa na wengine, mbaya zaidi hadi Vanessa anahusishwa, khaaaah yaan vee ashindanishwe na zuchu? Kisa sukari? Hapana siwezi kuvumilia nitakemea kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom