Nandy anazidi kupotea

Ila koffii nae kama kafulia kwa ukubwa ile kuja kufanya colabo bongo mwee
 
Tatizo shoga kidawa anajichetua mno na kulazimisha kushindana na akina flan , mbona zaman Alikua ana relax tu na anaimba vzur , siku hiz nandy kamekua na sifa za kijinga tofauti na zamani

Kingine pia kuna watu wanamfanyia figisu, industry ya mziki Ina changamoto kubwa sana, kurogana ndo usiseme , Nandy asipokua strong atajikuta anaingia kwenye level za kina Mwasi tu au ruby

But so far , Nandy bado ni Msanii bora wa kike ukizingatia hana management kubwa anajisimamia mwenyew
 
Tatizo wakitoka kidogo wanatulingia.
Imagine Nandy hajibu sms zangu
 
Binamu kwa unafiki wako unaona nandy ni msanii mkubwa bado? Haukumbuki nandy na ruge na genge lao walivomshusha Ruby ambae alikua on top siku zile! Nandy bila Ruge hata afanye nini hawezi kumshinda zuchu na leo hii hata mitaani zuchu anachzwa zaidi kuliko nandy huo ndio ukweli
 
Anacheza kwa kupania sana nguvu anayotumia inazidi kasi ha wimbo
Haka katoto kanasauti nzuri! Kanahitaji watu wajanja sana, kanauwezo Wa kutoboa dunia nzima wakakajua ila nahisi hakajapata watu sahihi Mkuu!
 
Unaweza ukaweka Data zinazoonyesha jinsi Nandy alivyoporomoka? Ebu tupe stastistics kuanzia 2016 hadi sasa 2021.
-Data zako zilenge katika nyanja hizi:-

1.Mauzo Online.
2.Idadi ya Shows.
3.Endorsements
4.Net Worth
5.Collaborations
Acha kukaza kichwa mkuu, Vitu vingine ni dhahiri na haviitaji ata DATA yoyote
.
Cha kwanza kwenye mauzo online, Nandy hayupo ata top5 kwa wanaoingiza mpunga mref

Cha pili kwny shows, nandy hana show yoyote kubwa aliofanya nchini na ata kimataifa zaidi ya kwenda kunengua na MaDJ club

Inshort, atazidi kupotea kama hatoshtuka mapema
 
Kwamba amepigwa kipapai 🤣 a.k.a karunguyeye 🤣🤣🤣 nouma sana
 

Huna data ,unaendeshwa kwa mihemko....Anapiga Shows Moni Central zone mwenye single mbili ndio ashindwe nandy??
 
Mashabiki wa WCB ni mataahira.

Vipi leo Nandy tena hashindani na Lady Jaydee,

Au kwa kuwa alikuja kumpa support siku ya "I am Zuchu" mmeamua kumpumzisha ??

Mbona ninyi Lady Jaydee hakumpa support siku yake ya 20 Album launch ???

Baada ya kumtumia Gig Money na kumpa airtime amtukane Nandy hamjatosheka kabisa, bado mnapambana naye,

Kwani ni lazima Nandy afulie ili Zuchu awe juu ???

WCB ni mashetani na mikia inayonuka damu kabisa aisee.

Yaani kila kilicho kizuri mnataka kiwe chenu tu.

Na kuna mijbwana inatumiwa tu kama ngazi, kugandamiza watu wengine bila yenyewe kujua.
 
Nandy hana washauri wazuri, hata koffi anamshangaa.

Kuhusu video, ipo very poor. Un organized.

Wale watoto wanacheza mastep mengine kabisa hata hayaendani na mziki husika.

Pia manguo aliyo vaa hayaja endana na nandy mwenyewe.

Anahitaji watu wazuri wa kumshauri,

Ngoma ya zuchu hadi leo inadunda mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…