Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

Nandy aonyesha jeuri ya Pesa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani, huyu naona hawajui wabongo vizurI , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair. Hizi Show off zake domo, Coz ako na uchawi wa hali ya juu, hakuna mbuzi yenye anaweza mgusa, sasa shoga yangu huyo mwamposa kama una uhakika ana nguvu za Mungu za kweli za kukulinda , basi endelea kujishaua kama kahaba wa kinondoni aliyeona range rover imepaki barabarani, mxieew kichwa kama kikapu cha sadaka.

Ila all in all , ka nandy ka hard worker sana , she is smart , hana starehe za kipumbavu kama gigy money , na hakanaga ma group ya ajabu. Mungu aendelee kukubariki

Ila na nyie mastaa hamuwezag kununua magar ya maana, basi Hako ka BMW X1 ka mil 22 Ndo kajiona Kim kardashian mwenyew, nyumba yenyewe ya kupanga, mxieew, ila hongera umewazid wote mwaego

IMG_6680.jpg
 
Ahah ahah lol , hii nyumba inaonekana ni ya wale matajir wa enzi za mwalimu, enzi hizo Ndo ilikua mjengo babkubwa, na hapo wame renovate , jumba shapeless kama maziwa ya Masha
Yale manyonyo akiruka yeye naumia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani , huyu naona hawajui wabongo vizur , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair . Hizi Show off zake domo , Coz ako na uchawi wa hali ya juu, hakuna mbuzi yenye anaweza mgusa, sasa shoga angu huyo mwamposa kama una uhakika ana nguvu za Mungu za kweli za kukulinda , basi endelea kujishaua kama kahaba wa kinondon aliyeona range rover imepaki barabarani, mxieew kichwa kama kikapu cha sadaka .

Ila all in all , ka nandy ka hard worker sana , she is smart , hana starehe za kipumbavu kama gigy money , na hakanaga ma group ya ajabu. Mungu aendelee kukubariki

Ila na nyie mastaa hamuwezag kununua magar ya maana, basi Hako ka BMW X1 ka mil 22 Ndo kajiona Kim kardashian mwenyew, nyumba yenyewe ya kupanga, mxieew, ila hongera umewazid wote mwaego View attachment 1550910
Hongera Nandy.

Pambana utoboe zaidi ya hapo
 
Anasali kwa mwamposa?
 
Back
Top Bottom