Billnas alikuwa na Nandy akiwa bado hajatoka alipoenda THT Ruge ndo akamtoaNa alivyokua anatumia nguvu kubwa kukanusha pyeeee kaumbuka peupeee. Swali fikirishi ina maana bilnas alikua anashare utamu na mzee baba aiseee
Usipokua na pesa ma binti wazuri utawaita shemeji.
Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.Halafu mziki umenifanya ninunue hiki na kile kumbe nyuma yake kuna mtu anaekuwezesha
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)Nandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Huyohuyo anabinua makalio insta miaka rudi miaka nenda, tangu nimeingia mjini na gari la kampeni namuonaga insta anajibinua ina maana hakuna kidume alieelewa ule mbinuko auweke ndaniMarehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)
Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Ruge mahaba alikua anajua akikupenda utapewa kila kitu Nandy analia na mengi ujue!!!anawaza carrier yake kimziki anawaza danga gani jipya mjini hapa!!bassi tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app