Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Watu wengi walikuwa na walakini kuhusu ukaribu wa Nandy na familia ya marehemu Ruge Mutahaba wakati wote wa shughuli za msiba, kwa kupewa kipaumbele kuliko hata wanawake waliozaa na Ruge.

Kupitia Instagram Nandy ameeleza ukaribu na uhusiano wake na marehemu

D8AFF182-05E0-4C3E-A46F-4BA522925FB8.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mziki umenifanya ninunue hiki na kile kumbe nyuma yake kuna mtu anaekuwezesha
Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)

Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)

Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyohuyo anabinua makalio insta miaka rudi miaka nenda, tangu nimeingia mjini na gari la kampeni namuonaga insta anajibinua ina maana hakuna kidume alieelewa ule mbinuko auweke ndani
 
Back
Top Bottom