Watanzania tuna kilema cha wivu dhidi ya waliofanikiwa, kwa utafiti wangu wenye maisha duni kwenye makundi ya kipato kidogo (wapiga debe, makondakta, wahudumu wa baa,nk) wakifa husikii ngoma ila wenye pesa tu au vyeo mpaka Rais mmoja mstaafu aliwahi kuzushiwa ngoma. Halafu unakuta aliye bize na mambo ya watu kapanga kachumba kamoja kama stoo anamwongelea mtu anaishi Masaki kwenye ghorofa, ni pathetic!Watanzania tuna matatizo sana..
Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahah ndo unajua leo?Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Madem bwana hawa hufwata pesa tu, wanajua kabisa maisha ya ruge yalikuwaje lakini kazi yao ilikuwa ni kujigongesha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!!Na alivyokua anatumia nguvu kubwa kukanusha pyeeee kaumbuka peupeee. Swali fikirishi ina maana bilnas alikua anashare utamu na mzee baba aiseee
Akili yangu nyembamba, haijajua methali.Kama nikitaka maana kamili nibonyeze kitufe gani?Hii ecosystem ni balaaa...Muumba tuepushie
Sasa hapo swali liko wapi??Na alivyokua anatumia nguvu kubwa kukanusha pyeeee kaumbuka peupeee. Swali fikirishi ina maana bilnas alikua anashare utamu na mzee baba aiseee
Sasa hapo swali liko wapi??
[emoji848][emoji848]
Wacha na mimi nipige pap paap paaap...nikae kandoNandy kivu-Ruge.baada ya Ruge kudedi ndo anakiri kuwa alikuwa anabinywa naye??
Nando familia alimlidhia?Nandy ndiye unofficial mjane wa marehemu Ruge.
Duuuuuhhhhhhhhhhh kweli wengi hatutauona ufalme wa mbinguni lol
Nandy anaishi masaki kwenye shilawadu walionyesha amepanga nyumba nzima Sasa Kama alikuwa analipiwa Kodi na jamaa inabidi ajiandae Sasa la sivyo arudi kujichanganya tabata bima au barakuda
Sent using Jamii Forums mobile app