Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Watanzania tuna matatizo sana..

Okay sawa kama ni kweli tatizo liko wapi??
Mbona kama watu wanateseka?
Kuna mama ama baba yake hapa?
Kama papa ni yake akidanga ama akiliwa we unaumia nini???
Hebu acheni kufatilia mambo ya watu fanyeni kazi ikishindikana weka hata TBC ONE uangalie taarifa ya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tuna kilema cha wivu dhidi ya waliofanikiwa, kwa utafiti wangu wenye maisha duni kwenye makundi ya kipato kidogo (wapiga debe, makondakta, wahudumu wa baa,nk) wakifa husikii ngoma ila wenye pesa tu au vyeo mpaka Rais mmoja mstaafu aliwahi kuzushiwa ngoma. Halafu unakuta aliye bize na mambo ya watu kapanga kachumba kamoja kama stoo anamwongelea mtu anaishi Masaki kwenye ghorofa, ni pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahah ndo unajua leo?

Hawa wanawake ni wetu sote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madem bwana hawa hufwata pesa tu, wanajua kabisa maisha ya ruge yalikuwaje lakini kazi yao ilikuwa ni kujigongesha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ndoto za kufika mbali, jihadhari sana na wanawake, chagua sana wanawake wa kujihusisha nao baada ya kupima akili zao.

Hawa watu ukishawaambia maisha yao yataenda poa na hawatakuwa na shida ya pesa wapo tayari kujitwika mzigo wowote ule.

 
Haya mambo kawaida sana kwa wadada wengi ambao ni wasanii zamani ilikua producer ndio anakula mzigo sababu ya ugumu wa kuingia studio, mambo yakabadilika watangazaji wakawa mameneja nao wakajilia vyao, Haya wakaja hawa wafanyabiashara wengine walioamua kuingiza fedha zao kwenye muziki nao wakajipigia vya kutosha!!
Mwanamuziki kutoka ni safari ndefu ambayo gharama zake ni pamoja na hizo
 
Na alivyokua anatumia nguvu kubwa kukanusha pyeeee kaumbuka peupeee. Swali fikirishi ina maana bilnas alikua anashare utamu na mzee baba aiseee
Sasa hapo swali liko wapi??
[emoji848][emoji848]
 
Picha hivi anazoachia Sasa inaonekana dogo depression inamuingia ugojwa
Mbaya sana
Inst-image-5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua marehemu kaka yangu ningemkataza huyo Nandy kupost huu ujinga.kwanini watu wanakua limbukeni na mitandao...jana tu ulikua unalia...leo ukomtandao.yaani hata sielewi.mitandao inatumika vibaya sana tanzania.
 
Back
Top Bottom