Umemsahau mc pilipili washawasha eat nandy kivuruge.Nandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Hahah life changes are inevitable. Ni kupanda na kushuka ila hali huwa mbaya zaidi kama umeishi kwa kutegemea mbuyu...siku mbuyu ukikatwa ujue kifuatacho ni aibu tu! Msiba lazma uwe mchungu sana kama sponsor wako ndio atakuwa amepotea. Mwacheni binti alie sana na kukesha makaburini. Sio rahisi kulipa kodi ya $800-1000 kila mwezi kwa kutegemea show za ninogeshe mda wa fiesta. You really have to toil it up!Nandy anaishi masaki kwenye shilawadu walionyesha amepanga nyumba nzima Sasa Kama alikuwa analipiwa Kodi na jamaa inabidi ajiandae Sasa la sivyo arudi kujichanganya tabata bima au barakuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu anaigiza tamthilia ya kibongo au namfananisha,kama nliwa muona siku flani hivi nikiwa natafuta movie ya kibongo nipate usingiziHuyu hapa mkuu nyama kidogo chips nyingi
Ila si haba for human consumptionView attachment 1039645View attachment 1039646
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]baby ninogeshe ninogeshee
Labda alimaanisha kwamba ruge ni best yake.Hapo mwishoni alipaswa kuandika... YOU'RE THE BEST........ na sio YOUR THE BEST.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea tuuu....unaonaje tukizungumzia maisha yako.Mkuu tunasogeza siku mbele. Maisha magumh ajira hakuna na sisi wajasiramali wateja wamepungu sasa na tukose hata furaha kwa kujunguka jamanii??? Tunaongea tuu na wala hatuwabadilishi na wala hakitabadilika choochote just chill and relaaaaax
kumbe mnajadili dogo kabisa , kwetu baadhi yetu hapa ni mtoto wetu kabisa.
Mengi husemwa mengine huwa si ya kweli, kaamua kuyasema ili kufunga mjadala aachwe kuulizwa., kuna mahaojiano alifanya na clouds TV kipindi cha 360 aliulizwa maswali mengi kuhusu Ruge aliongelea muziki tu, alipoulizwa kama ana mpenzi alijibu NO COMMENT akaulizwa umeva kidani kina herufi R inawakilisha nini akajibu NO COMMENT , naona kachoka kaamua yaishe.Hii issue ya Ruge kutembea na Nandy Dada wa Taifa Mange alishaisema Kitambo Sana kama mwaka m1 uliopita.
Utakua kwenye chain wewe si kwa povu hili acha unafiki ww unadhsni ww ni mkamilifu sana?? unajifanya husengenyi ila mimacho kodoo kwenye kila comment ya mtu unafanya nini hapo?? unaweza ukawa humsemi mtu ila una roho mbayaa kama msaga sumu. Na ulivyo mmbea eti unaorodhesha vitu hapo sasa mm na ww tunatofauti gani. Halafu umelazimishwa kuwa jukwa hili?? Nyie ndo viruka njia upo popote kila jukwaa unaponda kwa sababu huna cha kuchangia huna Contents zozote. Hebu niache bwana kila mtu yuko kivyake humu tusifuatiliane. Inaonekana yanayosemwa humu yankuumiza sana au na ww ni mmoja wao? Ungejificha basi si kwa kuja na ukali huuUmbea tuuu....unaonaje tukizungumzia maisha yako.
Madanga unayotokanayo mjini...!
Unavotumika ovyo ovyo bila mpangilio..!
Hujui kukataaa na ukikataa ni kosa la jinai.
Umezalishwa umekimbiwa (single mother).
Kila mtoto na babake..!
#shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hukuona alivyokuwa anapewa special attention msibani??Kumbe ka Nandy ni kakubwaaa. Pia ni mzur mnooo yani Naturally. Kuna video yake kapost Ruge anacheza na ka mbwa yani it seems jamaa walikuwa wanapendana sana na Nandy
Na ndivyo inavyotakiwa iwe kama MTU hajakuoa wewe hujui kula na vipofu.Mengi husemwa mengine huwa si ya kweli, kaamua kuyasema ili kufunga mjadala aachwe kuulizwa., kuna mahaojiano alifanya na clouds TV kipindi cha 360 aliulizwa maswali mengi kuhusu Ruge aliongelea muziki tu, alipoulizwa kama ana mpenzi alijibu NO COMMENT akaulizwa umeva kidani kina herufi R inawakilisha nini akajibu NO COMMENT , naona kachoka kaamua yaishe.
Inasemekana mahari ilisha tolewa na mshenga alikuwa January makamba..Na ndivyo inavyotakiwa iwe kama MTU hajakuoa wewe hujui kula na vipofu.
Afu ruge asinge umwa naskia mwaka huu alikuwa anataka kumtolea mahali nandy na wazazi pande zote wanajua.
Alikuwa anatembezewa MJEGEJO na R.Mengi husemwa mengine huwa si ya kweli, kaamua kuyasema ili kufunga mjadala aachwe kuulizwa., kuna mahaojiano alifanya na clouds TV kipindi cha 360 aliulizwa maswali mengi kuhusu Ruge aliongelea muziki tu, alipoulizwa kama ana mpenzi alijibu NO COMMENT akaulizwa umeva kidani kina herufi R inawakilisha nini akajibu NO COMMENT , naona kachoka kaamua yaishe.
Acha kutuchimba mkwara....Issue hapa ni nandy kuwaza nitoke vip mana kipaji hana ni promo tuu ya ruge ambaye sasa hayupo.....Hzo ngojera zingine achana nazo kwanzakati ya kitu kinachoweka kuweka wazi usiri/faragha ya mtu/watu ni mauti.Katika imani mauti/mtu akifa huwa kuna siri ambazo hata wafiwa wafiche namna gani hawawezi, hawana controll dhidi ya nguvu inayoambatana na mauti.Kristo yesu alipokufa siri zote za hekalu lile la wana wa israel ziliwekwa wazi baada ya pazia kuchanika katikati, pia Jacob baba wa taifa la israel alipokufa wale waliokuwa wamemtenda mabaya kwa Yusufu ambao ndio ndugu zake walijikuta wanaropoka maneno yasiyotarajiwa kwa yusufu.Ipo siri kubwa sana juu ya hali inayotokea baada ya mtu kufa.KAMA HUNA UFAHAMU MZURI JUU YA MAMBO HAYA PIA NA UHUSIANO MZURI NA MUNGU WAKO IKITOKEA MNAWEZA KUTIKISIKA SANA.This is a spiritual enviroment which usually happen after death taking place.NOTE;pia Mauti/ kifo kinaweza kupatanisha watu au kufarakanisha kabisa it depends on the spiritual relation with what u believe
Mwanadalisalama mcheki insta