Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Wazee wa maadili mtanisamehe, mimi hilo life la Ruge nalifagilia kinoma. Sema vile mimi nimelogwa tu sina hela. Huku unawasaidia ambao hawakubahatika kwenye jamii, kisha najichagulia suria anaelipa namscoop mpaka anawehuka,nampiga chini kisha nachagua suria mwingine, yani kama mfalme Suleiman wa Ottoman Empire. Ruge huna cha kujutia huko ulipo, big up dude!
Nimecheka sana hii comment mkuu😂
 
hii gridi ina extend tuu, haieleweki inaishia wapi, uyu Nandy kaungiwa ile ya REA akaanza na Tariff D1 moja kwa moja, tusubiri mwingine ajitokeze
Dah!!
Kazi tunayo kwa kweli.
Hawa wasanii mambo wanayoyafanya!!
Wamezungukana mno!!
Yaani ukiunganisha msululu wao Ni balaa tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)

Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tuna kilema cha wivu dhidi ya waliofanikiwa, kwa utafiti wangu wenye maisha duni kwenye makundi ya kipato kidogo (wapiga debe, makondakta, wahudumu wa baa,nk) wakifa husikii ngoma ila wenye pesa tu au vyeo mpaka Rais mmoja mstaafu aliwahi kuzushiwa ngoma. Halafu unakuta aliye bize na mambo ya watu kapanga kachumba kamoja kama stoo anamwongelea mtu anaishi Masaki kwenye ghorofa, ni pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wivu ndugu, lisemwalo lipo, usipende kutetea maovu, Sasa mtu ana miaka zaidi ya 40 anatombatomba tu videmu rika na mtoto wake na vimapepe Kama huyo nandy halafu anaviambukiza ukimw unataka watu wakae kimya, were ndio utaakuwa walewale
 
Halafu mziki umenifanya ninunue hiki na kile kumbe nyuma yake kuna mtu anaekuwezesha
Namimi nlikua tu namuangaliaga akijitia eti Mziki ndo source wakati tunajua kbsa yupo pusher mmoja nyuma..Mziki wa bongo ukufanye ufanye hayo Thubutuuu.. Hapa Tz n Diamond tu ndo anakula matunda ya Muziki tena nae ni kidogo sana ila hela zake zina Mikodi kibao hela ya Mziki anaipata kiduchu sana maana UKIJA mkate ni unagawanywa kwa RAIA kama wote hivi.

hela anaipatia kwenye matangazo na deal zake zingine PLUS na BRAND yake "diamond" ila Mziki wa TZ bado sanaaa kutudanganya nao eti umefanya hayo yote..yani Ni huo Kivuruge tuuu au kitu gani cha kutuzuga nacho kua ndo kimekupa mifanikio hyo? Nandy bwana alijua kutuona maboya.

sema sio kesi mama..Muwezeshaji kashapumzika.. acha tuone muendelezo wa MUZIKI wako kama n kweli ni muziki TUTAONA.
 
Kumbe ka Nandy ni kakubwaaa. Pia ni mzur mnooo yani Naturally. Kuna video yake kapost Ruge anacheza na ka mbwa yani it seems jamaa walikuwa wanapendana sana na Nandy
Kabayaa.. ukikaon live
 
Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
mFAno mzuri kuna kadada kanajiita ka MALAIKA yani yule nadhani hata wewe unaweza ukawa humfahamu ila mfate muulize kulikoni una ishi kama umeshushwa sayari ya pili..utaskia MUZIKI tuuu mxieuwww
 
Tokoshila pyeee!Tokosanga manumba na mmawee!(Kwa style hii tutaisha woootee.Tutaacha majumba na mawe tu)
 
Back
Top Bottom