casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Kwa iyo ile video ya mwaka jana nenga alikuwa anampimia oil boss ruge?Billnas alikuwa na Nandy akiwa bado hajatoka alipoenda THT Ruge ndo akamtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo ile video ya mwaka jana nenga alikuwa anampimia oil boss ruge?Billnas alikuwa na Nandy akiwa bado hajatoka alipoenda THT Ruge ndo akamtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
hii gridi ina extend tuu, haieleweki inaishia wapi, uyu Nandy kaungiwa ile ya REA akaanza na Tariff D1 moja kwa moja, tusubiri mwingine ajitokeze
Nimecheka sana hii comment mkuu😂Wazee wa maadili mtanisamehe, mimi hilo life la Ruge nalifagilia kinoma. Sema vile mimi nimelogwa tu sina hela. Huku unawasaidia ambao hawakubahatika kwenye jamii, kisha najichagulia suria anaelipa namscoop mpaka anawehuka,nampiga chini kisha nachagua suria mwingine, yani kama mfalme Suleiman wa Ottoman Empire. Ruge huna cha kujutia huko ulipo, big up dude!
Dah!!hii gridi ina extend tuu, haieleweki inaishia wapi, uyu Nandy kaungiwa ile ya REA akaanza na Tariff D1 moja kwa moja, tusubiri mwingine ajitokeze
Bado anamajoziHapo mwishoni alipaswa kuandika... YOU'RE THE BEST........ na sio YOUR THE BEST.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)
Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wivu ndugu, lisemwalo lipo, usipende kutetea maovu, Sasa mtu ana miaka zaidi ya 40 anatombatomba tu videmu rika na mtoto wake na vimapepe Kama huyo nandy halafu anaviambukiza ukimw unataka watu wakae kimya, were ndio utaakuwa walewaleWatanzania tuna kilema cha wivu dhidi ya waliofanikiwa, kwa utafiti wangu wenye maisha duni kwenye makundi ya kipato kidogo (wapiga debe, makondakta, wahudumu wa baa,nk) wakifa husikii ngoma ila wenye pesa tu au vyeo mpaka Rais mmoja mstaafu aliwahi kuzushiwa ngoma. Halafu unakuta aliye bize na mambo ya watu kapanga kachumba kamoja kama stoo anamwongelea mtu anaishi Masaki kwenye ghorofa, ni pathetic!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni hatari huyu ruge ataondoka na wengi Kama Diana aston vilaDah!!
Kazi tunayo kwa kweli.
Hawa wasanii mambo wanayoyafanya!!
Wamezungukana mno!!
Yaani ukiunganisha msululu wao Ni balaa tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku watu wanakuja na thories za kulishwa sumu na takataka zingineMkuu ni hatari huyu ruge ataondoka na wengi Kama Diana aston vila
Na Kuna watu urasikia wameruka naye karibuni.Malaya tu huyo Demu
Yap, halafu utakuta wanashupalia kweli wakati ni wakuja tu hapa mjini.Mwisho wa siku watu wanakuja na thories za kulishwa sumu na takataka zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi nlikua tu namuangaliaga akijitia eti Mziki ndo source wakati tunajua kbsa yupo pusher mmoja nyuma..Mziki wa bongo ukufanye ufanye hayo Thubutuuu.. Hapa Tz n Diamond tu ndo anakula matunda ya Muziki tena nae ni kidogo sana ila hela zake zina Mikodi kibao hela ya Mziki anaipata kiduchu sana maana UKIJA mkate ni unagawanywa kwa RAIA kama wote hivi.Halafu mziki umenifanya ninunue hiki na kile kumbe nyuma yake kuna mtu anaekuwezesha
Kabayaa.. ukikaon liveKumbe ka Nandy ni kakubwaaa. Pia ni mzur mnooo yani Naturally. Kuna video yake kapost Ruge anacheza na ka mbwa yani it seems jamaa walikuwa wanapendana sana na Nandy
mFAno mzuri kuna kadada kanajiita ka MALAIKA yani yule nadhani hata wewe unaweza ukawa humfahamu ila mfate muulize kulikoni una ishi kama umeshushwa sayari ya pili..utaskia MUZIKI tuuu mxieuwwwWasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhhKabayaa.. ukikaon live
Sio kwamba kabaya ila rangi inakabeba sana kapare kangu na rugemhhh
Ka Nandi Kivu Ruge 😀Sio kwamba kabaya ila rangi inakabeba sana kapare kangu na ruge
HahahahKa Nandi Kivu Ruge 😀
Hahahaha kashushiwa sayari ya pilimFAno mzuri kuna kadada kanajiita ka MALAIKA yani yule nadhani hata wewe unaweza ukawa humfahamu ila mfate muulize kulikoni una ishi kama umeshushwa sayari ya pili..utaskia MUZIKI tuuu mxieuwww