Yah mkuu.. unaweza kuta content nzima ni hapo chini alipotaka kutuaminisha kuwa huyo Ruge ndio kila kitu kwake... roho yake.. mahabuba wake nk nk... so sentensi moja yaweza leta maana tofauti..Dah...89% ya bandiko limeandikwa kwa kiswahili....na kuna makosa 37 ....lakini umeona moja tu.... la kiingereza...wabongo bana...dah[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Aliyekwambia Wanaume wanaoa mibinuko nani?? imejaa tele inadanga mitaaniHuyohuyo anabinua makalio insta miaka rudi miaka nenda, tangu nimeingia mjini na gari la kampeni namuonaga insta anajibinua ina maana hakuna kidume alieelewa ule mbinuko auweke ndani
Hatari sana mkuuHalafu mziki umenifanya ninunue hiki na kile kumbe nyuma yake kuna mtu anaekuwezesha
Hakuzikwa na padri kwasababu wao walikuwa waumini wa kanisa la Mwamposa, km ulisikiliza interview za ndg ( mama na wadogo zake) walisema from the beginning tangu yuko SA walikuwa wanafanya maombi asb mchana na jioni through conference call.WAKAPIME WOTE. sio Figo tu, kuna Sababu. Walikuwa n'a uwezo wa kubadilisha Figo n'a kuweka nyengine . Ndivyo kibao watoto kibao. Na Kwa nini akuzikwa padre au askofu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nandy ndiye unofficial mjane wa marehemu Ruge.
Yuko kwenye list ni mwanafamilia mwenzetu
Yuko kwenye list ni mwanafamilia mwenzetu
Hana cheti cha ndoa lakini mahari ilitolewa
Owky best nimekusoma vizuri tuHana cheti cha ndoa lakini mahari ilitolewa
JamaniJaman acheni uongo mahari ilikuwa haijapelekwa ila ukweli walipanga kupeleka tarehe 2/3 siku ambayo ndio ruge akawa anaagwa karimjee. Ndoa ilikuwa ifungwe south leo tarehe 9/3 hata kama kwenye hospital bed. Marehemu alishajirudi na kuamua kulia n Mungu. Nadhiri aliyoweka ilikuwa km Mungu angemsaidia apone basi angemtumikia Mungu na kwa kuanzia ilikuwa aoe atulie na mkewe
Duh!! Mgao wa nini sio wataona ni transformer kaa mbali nalo mkuu?Kajitangaza mapema ili asisahulike kwenye mgao
Inamaana mkuu mabinti wa THT alikuwa anawapitia ndio awatoe hahahaaKumbe ni yule jamaa...mke wake naye alikua THT ama hadi akaliwa na Boss Ru
Yule aliyezikwa mbeya si alishatangulia??Sana Mkuu ,Subiri waanze kupukutika.