Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha.
Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku itakuletea mgogoro utakapoamua kuwa na mahusiano yako.
Acha kujiweka kimbelembele Dada,sababu kubwa ya ugonvi wa Lulu na mama Kanumba ni kitendo cha Lulu kuwa na mwanaume mama Kanumba hakufurahishwa.
Ndiyo huyo na ka sauti kake ka kukwaruza flani! Isidingo the NeedNandi hivi ndio yule Nandipa aliyekuwepo kwenye Isidingo?
Luge lini mtasema ruge?Luge mwenyewe si alikuwa Muathirika sasa nani kumtaka huyo nandi
Yaani nijichinje mwenyewe
Hii sentensi yako hii imekaa kama Comedy 😂😂😂 ila ina ukweli ndani yakeUkielewa pesa na ukiwaelewa binadamu, Usingehoji afanyacho Nandy..!! Unafikiri Nandy ni mjinga kama unavyo fikiri...[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii? tuwe na kiasi.... una uhakika gani?Luge mwenyewe si alikuwa Muathirika sasa nani kumtaka huyo nandi
Yaani nijichinje mwenyewe
Shikamoo mama travis... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha.
Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku itakuletea mgogoro utakapoamua kuwa na mahusiano yako.
Acha kujiweka kimbelembele Dada,sababu kubwa ya ugonvi wa Lulu na mama Kanumba ni kitendo cha Lulu kuwa na mwanaume mama Kanumba hakufurahishwa.
Binadamu ni viumbe vigumu sana kuvielewa!Ni suala la muda tu atamove on hawezi kukatisha mahusiano ghafla tu....akifanya hivyo mtakuja mumnange hapa kwamba amesahau mapema aliyofanyiwa na marehemu...
Kwakweli ni mjingaUkielewa pesa na ukiwaelewa binadamu, Usingehoji afanyacho Nandy..!! Unafikiri Nandy ni mjinga kama unavyo fikiri...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kbs Demba, no swala la muda tu. Muda ukifika hata hiyo familia itamuulizia kama kweli yupo nchi hii. Watu watulie ni sawa na ukiamia makao mapya matembezi yako mengi ni kule kwa zamani ukishazoea makazi mapya na kuwapata marafiki Kyle kwa zamani hawatakuona kirahisi rahisi.Ni suala la muda tu atamove on hawezi kukatisha mahusiano ghafla tu....akifanya hivyo mtakuja mumnange hapa kwamba amesahau mapema aliyofanyiwa na marehemu...
Nakumbuka kuna kipindi flani hili jina liliwahi kutumika kama nguo ya ndani eehhhh....[emoji53][emoji53][emoji53]