Nandy hadi lini utakuwa mtumwa wa familia ya Ruge?,kuwa makini unajipotezea bahati ya kuolewa

Nandy hadi lini utakuwa mtumwa wa familia ya Ruge?,kuwa makini unajipotezea bahati ya kuolewa

Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha.

Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku itakuletea mgogoro utakapoamua kuwa na mahusiano yako.

Acha kujiweka kimbelembele Dada,sababu kubwa ya ugonvi wa Lulu na mama Kanumba ni kitendo cha Lulu kuwa na mwanaume mama Kanumba hakufurahishwa.

Wivu Au ni chuki? Wewe unajua uhusiano wao ulikuaje Au wanamthamini kihasi gani?
 
Leave the girl alone to mourn mpenzi wake.
Kafiwa juzi tuuuu ...ndoa ya nini kakwambia anaihitaji?.
Mbona mpo mitaani hamjafiwa na hamuolewii?
Anajichoresha?unajua how far walifika na Ruge?.
 
Ukielewa pesa na ukiwaelewa binadamu, Usingehoji afanyacho Nandy..!! Unafikiri Nandy ni mjinga kama unavyo fikiri...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sentensi yako hii imekaa kama Comedy 😂😂😂 ila ina ukweli ndani yake
 
Nimekuja kuelewa kwanini babu tale alivujisha iyo video ya nandy akipigwa dole
 
Utakuwa ni zamaradi wewe!!! Pambana na hali yako ya Nandy hayakuhusu
 
Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha.

Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku itakuletea mgogoro utakapoamua kuwa na mahusiano yako.

Acha kujiweka kimbelembele Dada,sababu kubwa ya ugonvi wa Lulu na mama Kanumba ni kitendo cha Lulu kuwa na mwanaume mama Kanumba hakufurahishwa.
Shikamoo mama travis... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hawezi kusitisha ghafla huo usiano, mwacheni itafika kipindi tuu hiyo familia itamsahau, na yeye atasahau kuombeleza.
 
Ni suala la muda tu atamove on hawezi kukatisha mahusiano ghafla tu....akifanya hivyo mtakuja mumnange hapa kwamba amesahau mapema aliyofanyiwa na marehemu...
Binadamu ni viumbe vigumu sana kuvielewa!
 
Ni suala la muda tu atamove on hawezi kukatisha mahusiano ghafla tu....akifanya hivyo mtakuja mumnange hapa kwamba amesahau mapema aliyofanyiwa na marehemu...
Kweli kbs Demba, no swala la muda tu. Muda ukifika hata hiyo familia itamuulizia kama kweli yupo nchi hii. Watu watulie ni sawa na ukiamia makao mapya matembezi yako mengi ni kule kwa zamani ukishazoea makazi mapya na kuwapata marafiki Kyle kwa zamani hawatakuona kirahisi rahisi.
 
Huenda anatarajia kuleta mjukuu kwa hiyo anajenga mazingira
 
Back
Top Bottom