RICK MEDIA
New Member
- Jan 17, 2018
- 2
- 0
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.
Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamber
Sent using Jamii Forums mobile app