Nandy kumuanika aliyevujisha video yake ya utupu na Billnass

Nandy kumuanika aliyevujisha video yake ya utupu na Billnass

RICK MEDIA

New Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.

Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamber
rickmediatz-1535104338645.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mkipiga vipicha vyenu vya uch uchwii huwa mnafikiria vitaishia wapi?? havitaonekana? hakuna siri chini ya jua. Umeshaaibika piga nyingine jifanye ni siri.
 
nimeitafuta hiyo video youtube, kilichonishangaza, mrembo mzuri hivyo anavyaa chup* ya shilingi 500?
 
The thing is, ishu sio tu jamii inakuchuliaje.

Wewe binafsi you have no business letting a man do that to you while recording yourselves.

Don't degrade your self over a man.

Pole Nandy. Grow up a little and let it be a lesson to you and some girls out there who dontuse their heads when they are in love.
 
Analazimisha ambao waliipotezea hiyo clip nao waingie chimbo kuitafuta.

Ilikuwa heri kwake kama angenyamaza na kusamehe. Na kama kila kitu anacho mkononi haikuwa na haja ya kuahidi muda wakuweka ushahidi wazi. Labda kama nayo anaichukulia kuwa PRESS.

Kwanza tutamwamini vipi kama huo anaoita ushahidi ni ukweli katika kipindi hiki ambacho technology imeondoa uhalisia katika maisha.

NB.
Niwajuavyo mimi watu,anajiandalia mazingira ya kuchunguzwa na kuja kuchafuliwa zaidi,maana wasanii wetu huwa hawajifunzi kwa yale wanayoyapitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye ile clip aiweke tuone ile mouse ikitembea juu ya meza.
 
Alivyokuwa mwembamba nilijua hakuna chupi inamtosha kumbe na yeye anavaa.
 
Mwenye ile clip aitupiemo wajameni 😉
 
baadaye jioni atasema kapokea simu nyingi kutoka kwa watu wa karibu na pia kutokana na kuheshimu brandy yake isichafuke hatomtaja tena muhusika aliyepanga na kuvujisha video ile.
 
Back
Top Bottom