Nandy, Mafiga matatu yatakuponza

Huu uzi umekua wa moto hivi. Dini hizi wazungu walikosea kuleta huku. Wangetuacha na imani za asili/matambiko yetu tu aaah.
 
Huu uzi umekua wa moto hivi. Dini hizi wazungu walikosea kuleta huku. Wangetuacha na imani za asili/matambiko yetu tu aaah.
Kwani tumebakiwa na nini ambacho si cha mzungu mjukuu? Hata ugali wenyewe ni wao wameturetea...ndio kama ile tunapinga chanjo ya mzungu ila tunaomba Mungu aliyeletwa na huyo huyo mzungu
 
Tunapozungumzia falme mbili wengi hawaelewi au wanadhani ni akina kingi mswati na kingi henry
 
Wakristo jina+wanaocomments kwa chuki zao tu kwako,pia mashabiki mihemko wa huyo wa kujiita Nandy.
Hatupaswi kuwajibu kwa hasira bali kwa neno na hoja...unajua injili ni popote hata katikati ya magugu unaweza kupanda mbegu ya injili na ikamea vizuri sana
 
Kwani tumebakiwa na nini ambacho si cha mzungu mjukuu? Hata ugali wenyewe ni wao wameturetea...ndio kama ile tunapinga chanjo ya mzungu ila tunaomba Mungu aliyeletwa na huyo huyo mzungu
Sasa dini imekua too much. Yaan ni hatariiiih kweli
 
Nandy fanya yote ndani ya uwezo wako,kuna time itafika YOU CAN'T DO SHIT,utabaki i could have done this or that..hapo umezeeka, fanya YOTE sema kuwa ORGANISED ,and consistent...

Fikiria sister, wangapi wanaenda Makanisani / Misikitini na kukaa front seats bila kukosa kila ibada lakini ni wazinzi, washirikina, walevi, wauaji, waongo na wanafanya kila aina ya uchafu lakini hatuoni ni big deal !..

Wangapi waliupenda wimbo wa Yemi Alaide - Nagode hapa hapa Tz bila kujali kama Yemi si mwanamuziki wa Gospel, sasa kwa nini kwa Nandy iwe big deal !..

By the way Nyimbo ni nzuri hasa wanibariki na nipo naye, kwangu ni nyimbo za kwanza za Nandy kuingia kwenye playlist yangu straight maana Lyrics, vocals na beats zipo vizuri, kazisikilize maana hautokuwa dissapointed
 
Umeongea utopolo mtupu ...... !!!
 
Natofautiana kidogo na wewe kwenye uchambuzi wako ..nitakurudia
 
Nimekuelewa vizuri sana. Na ni kweli shida kubwa aliyo nayo ni ushauri sahihi, tuseme 'management' nzuri. Ule mwimbo na Koffi haukutakiwa utoke hewani.
Nikimwangalia kwa jicho lingine kama vile namwelewa na kumsamehe kwa mis-direction yake. Kwa misingi kwamba relationship yake na Nenga haikuwa na tija kwake. Kwa maana ya kwamba alikuwa na tija zaidi akipokuwa peke yake na alipokuwa na Jasiri Mwongoza Njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…