Nandy na Maua Sama nani mkali?

Je mbona jolie amumzungumzii,niliimpenda sana kwenye ile ngoma yake ya 'Haimanishi'.
Lakin maua sama ni 'hot'hapa kidogo naona kama sipaelewi.mbona wakawaida sana.
 
Maua kapata tuzo gani?Nandy mkali zaidi

Kupata tuzo sio kipimo cha kujua sana nakupa mfano
Kwenye hip hop kuna mtu anaitwa one the incredible pamoja na Stereo hawa jamaa wanajua ila Tuzo hawajawai pata ukienda uko Us watu tunajua J cole na Chris brown ni wakali ila maajabu kuna tuzo kubwa hawajawai kwapua na hawana time nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…