Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kiukweli kabisa mimi pia nimeshindwa kabisa kumuelewa yule mtoto
Nimejitahidi kumuelewa Nandy lakini bado sijafanikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejitahidi kumuelewa Nandy lakini bado sijafanikiwa.
Hebu toa huyo mwenye sura ya chid benz no 4 hapo.1.maua
2.ruby wa zaman
3nandy
4.mwasiti
Simi.. Huyu binti hakuna kama yeye Africa nzima.Simi ni habari ingine ila ndio vile nyimbo zake sio za kuchezeka sana ndio maana bongo bado hajapata hype. Kwa naija wanamkubali sana maana anajua kutunga na ana sauti unique
Acha kumfananisha Maua Sama na vitu vya ajabu ajabu!Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Maua sama anaimba nandy anabana kooKati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Maua kapata tuzo gani?Nandy mkali zaidi
Kupata tuzo sio kigezo cha kujua. Mbaya usilo lijua hizo tuzo nying hutolea bila usawa na uhalalo wengi wana fake kwa kununua ili iwe rahis kwao kwenye brandingMaua kapata tuzo gani?Nandy mkali zaidi