DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Haters wa shem wetu kwa R haoMpaka sasa Maua 90% Nandy 10%
Jolie anaimba poa ila sauti badobado..Je mbona jolie amumzungumzii,niliimpenda sana kwenye ile ngoma yake ya 'Haimanishi'.
Lakin maua sama ni 'hot'hapa kidogo naona kama sipaelewi.mbona wakawaida sana.
Haters wa shem wetu kwa R hao
K sio!!!Nandy anauza. Maua si muuzaji.
DuuhK sio!!!
Ndivyo hivyo.K sio!!!
Huyo bib muda wake ushapita sio wa kumuweka hapa tupa hukooo[emoji706][emoji706]Hao wasichana watatara tara weee lakini JIDE aka COMANDO ni MAMA LAO!!!
Kweli.Mwasiti hanaga nyota kabisaaa