Nandy na Maua Sama nani mkali?

Nandy na Maua Sama nani mkali?

Je mbona jolie amumzungumzii,niliimpenda sana kwenye ile ngoma yake ya 'Haimanishi'.
Lakin maua sama ni 'hot'hapa kidogo naona kama sipaelewi.mbona wakawaida sana.
Jolie anaimba poa ila sauti badobado..

Napenda wimbo wake unaitwa "Bado mapema"
 
Muziki ni kazi/biashara ya kuendesha maisha ya muhusika, kwa sasa Nandy ni zaidi maana kazi yake imemtambulisha zaidi ulimwenguni na kumuingizia kipato kikubwa, Maua ni mwanamuziki mzuri kwa kutoa muziki ila huu wakati si wake, Nandy ni kama Mondi hata akiimba makorokocho anapata pesa, hakuna muziki wa kuburudisha tu now days, so Nandy ni zaidi.
 
Nandy ni msanii wa kutengenezwa kma washindi wa BSS ambao mda wao hua haudumu to me Grace Matata ni ni my number one ila sijui ana kwama wapi, number mbili Maunda zoro nae sijui shida nn
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kuna nyimbo ya Nandy imewahi kuhit Kama kufikia Iokote....?! Maua Sama is the hottest sema tu Nandera promo kubwa
 
Mimi niseme ukweli Maua sama yupi vizuri sana.....ila nandy nina mapenzi nae..
 
Wimbo wa sisikii wa Maua Sama kama angekuwa WCB ungenyakua tuzo nyingi Sana Africa, bonge moja la pini kuanzia beat , vocal mpak flow....bas tu
 
Hao wasichana watatara tara weee lakini JIDE aka COMANDO ni MAMA LAO!!!
 
Back
Top Bottom