Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 285
Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nandy akipata mashairi mazuri..ni our African princess
Mwasiti hanaga nyota kabisaaa1.maua
2.ruby wa zaman
3nandy
4.mwasiti
Simi???Tiwa Savage???
Maua sama [emoji91] mchumba hana kiki wala scandal lakini akiachia dundo tu ni hit song.Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Maua sama she's hot na pia anajua kuimba sana.
Tiwa Savage???
Hot????
Simi???
Kwa bongo list yangu ni hii
Grace matata
Maua sama
Mwasiti
Ruby
Nandy
Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho)
Linah sanga
Tukirud kwenye topic
Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ...
Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Duuh Kumbe ni jina la msanii, nilidhani unamaanisha naniliii🏃🏃Simi???
Maua Sama siwezi mfaham nikikutana nae,Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.